Serikali yapongezwa kujenga maabara ya kupima mionzi visiwani Zanzibar
Bunge limeipongeza serikali kwa kujenga ofisi na maabara ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC), mionzi visiwani Zanzibarjambo litakalosaidia upimaji wa sampuli na kusaidia watafiti kuitumia maabara hiyo. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Husna Sekiboko, ametoa pongezi hizo leo wakati wa ziara ya kamati yake ilipotembelea ofisi […]
Serikali yapongezwa kujenga maabara ya kupima mionzi visiwani Zanzibar Read More »