Admin

Binti wa miaka 16, Arjun Mittal, aiomba serikali kuondoa VAT kwenye taulo za kike

SERIKALI imeombwa kuondoa Kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ya asilimia18, kwenye Taulo za kike ili kuwezesha bidhaa hiyo kupatikana kwa bei rahisi na kuwafikia walengwa kwa wakati. Ombi hilo limetolewa hivi karibuni na Mwanafunzi Mtanzania anayesoma Dubai katika Falme za Kiarabu, Arjun Kaur Mittal kwa Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson alipotembelea ofisini kwake.

Binti wa miaka 16, Arjun Mittal, aiomba serikali kuondoa VAT kwenye taulo za kike Read More »

Aweso awasha moto Mwanza, ataka kazi ujenzi mradi Buhongwa ifanyike usiku na mchana

Waziri wa Maji Juma Aweso jana ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa kuboresha wingi wa maji kata za Buhongwa na Lwanhima na kuelekeza wananchi wa maeneo haya kupata Maji haraka ndani ya wiki hii. Mradi huu una gharama ya Tshs. Milioni 864.816. Mradi huu utanufaisha wakazi wa mitaa ya Sahwa ya chini, Sahwa ya

Aweso awasha moto Mwanza, ataka kazi ujenzi mradi Buhongwa ifanyike usiku na mchana Read More »

Rostam Aziz atoa tamko kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA

Mfanyabiashara maarufu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, Rostam Aziz, ameungana na Watanzania wengine kulaani vikali mauaji ya kiongozi wa chama cha Chadema, Mohamed Ali Kibao, yaliyotokea hivi karibuni. Katika tamko lake, Rostam ameelezea masikitiko yake makubwa kufuatia tukio hilo la kikatili, akisema ni hatua ya kurudi nyuma kwa Taifa. “Nchi yetu imejengwa

Rostam Aziz atoa tamko kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Read More »

Mgunda aondoka Klabu ya Simba

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuwa Kocha Juma Ramadhani Mgunda hatokuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu ya Wanawake wa Simba Queens baada ya mkataba wake kutamatika na kubainisha kuwa kikosi hicho kwa sasa kitakuwa chini ya Kocha msaidizi, Mussa Hassan Mgosi ambae tayari ameshaanza maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ambayo itaanza

Mgunda aondoka Klabu ya Simba Read More »

Silaa awataka wana-CCM Ukonga kunadi maendeleo ya Dkt. Samia

Mbunge wa Jimbo la Ukonga ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo hilo, kushirikiana na kuyasema mambo mazuri yote yanayofanywa na Serikali, ikiwepo utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan

Silaa awataka wana-CCM Ukonga kunadi maendeleo ya Dkt. Samia Read More »