Admin

GGML pledges unwavering support for Tanzania’s Sustainable Development Goals

Geita Gold Mining Limited (GGML), has reaffirmed its unwavering commitment to collaborating with the Tanzanian government and other stakeholders to ensure the country’s steady progress in achieving the United Nations’ Sustainable Development Goals (SDGs) by 2030. The steadfast resolve was articulated by GGML’s Public Relations and Communications Manager, Stephen Mhando, speaking on behalf of the […]

GGML pledges unwavering support for Tanzania’s Sustainable Development Goals Read More »

Mchengerwa: Tanzania imefanikiwa kupunguza vifo vya Mama na Mtoto

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza kiwango cha vifo vya Wajawazito vinavyotokana na matatizo ya uzazi kutoka wastani wa Vifo 556 kwa kila vizazi hai 100,000 (Mwaka 2015/2016) hadi kufikia wastani wa vifo 104 kwa kila vizazi hai 100,000 (Mwaka 2022). Amesema vifo vya

Mchengerwa: Tanzania imefanikiwa kupunguza vifo vya Mama na Mtoto Read More »

Tuunge mkono jitihada za Dk. Samia matumizi Nishati Safi ya Kupikia- Kapinga

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan katika matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.  Kapinga  ameyasema hayo leo Septemba 08, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa Tamasha la AZIMIO LA KIZIMKAZI  ambalo limetumika kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi

Tuunge mkono jitihada za Dk. Samia matumizi Nishati Safi ya Kupikia- Kapinga Read More »

Coca-Cola yazindua tamasha la chakula

KAMPUNI ya Coca-Cola imezindua tamasha la Chakula lijulikanalo kama ‘Coca-Cola Food Fest’ kwa lengo la kuwaleta pamoja wapishi bora wa vyakula, muziki na burudani. Tamasha hilo lilizinduliwa mwishoni mwa wiki linatarajia kuanza tarehe 9 Septemba hadi 23 Novemba 2024 ambapo pia kutakuwa matamasha yatakayokuwa yakifanyika mitaani katika maeneo tofauti ya Dar es Salaam. Tamasha hili

Coca-Cola yazindua tamasha la chakula Read More »

Wizara ya Nishati endeleeni kuusimamia Mradi wa JNHPP ipasavyo-Kamati ya Bunge

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Wizara ya Nishati kuendelea kuusimamia ipasavyo Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Julius Nyerere (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Hayo yalielezwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Kirumbe Ng’enda Septemba 07, 2024 wakati wa ziara ya kukagua hatua za utekelezaji wa mradi huo ambao utaingiza megawati

Wizara ya Nishati endeleeni kuusimamia Mradi wa JNHPP ipasavyo-Kamati ya Bunge Read More »

Zaidi ya wananchi 1,000 kushiriki mbio za Shangilieni Marathon

ZAIDI  ya wananchi  1000  wanatarajiwa kushiriki  mbio za SHANGILIENI Marathon msimu wa pili  ambazo zimekuwa zikiandaliwa mahususi kwa ajili ya kuimarisha Afya na kusaidia jamii iliyopo pembezoni kwa kuchangia huduma ya afya . Hayo yamesemwa mkoani Arusha na Mratibu wa SHANGILIENI MARATHON, Scolastica Porokwa Porokwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya mbio hizo.  Amesema

Zaidi ya wananchi 1,000 kushiriki mbio za Shangilieni Marathon Read More »