Admin

Zanzibar welcomes Brazilian CEOs to boost tourism and investment

Zanzibar is set to benefit from a potential surge in tourists and investors as 16 Chief Executive Officers (CEOs) from prominent Brazilian tourism companies arrive in the region. This visit, hosted by local tour operator Take a Trip, marks a significant milestone in fostering closer ties between Tanzania and Brazil. At a reception welcoming the […]

Zanzibar welcomes Brazilian CEOs to boost tourism and investment Read More »

Rais Dk.Mwinyi awasili Maputo kushiriki miaka 50 ya Siku ya Ushindi nchini Msumbiji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasili jijini Maputo, Msumbiji akitokea nchini Indonesia kwa gwaride maalum na ujumbe wake akiwemo Mkewe Mama Mariam Mwinyi. Katika uwanja wa ndege wa Maputo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa juu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Msumbiji akiwemo Waziri

Rais Dk.Mwinyi awasili Maputo kushiriki miaka 50 ya Siku ya Ushindi nchini Msumbiji Read More »

Kenya yatangaza siku 3 za maombolezo kufuatia tukio la moto uliowaua watoto 18

Rais wa Kenya William Ruto ametangaza muda wa siku tatu wa maombolezo ya kitaifa kufuatia mkasa wa moto uliowaka katika bweni la Hillside Endarasha katika kaunti ya Nyeri na kusababisha vifo vya watoto 18. Katika tangazo lililotolewa na ofisi ya Ijumaa jioni, rais huyo wa Kenya kuwa siku hizo tatu zitaanza alfajiri Jumatatu, Septemba 9,

Kenya yatangaza siku 3 za maombolezo kufuatia tukio la moto uliowaua watoto 18 Read More »

Askari wa kike kutoka Tanzania walivyo tumia fursa Mkutano wa Dunia Marekani kutangaza utalii na vivutio

Askari wa kike kutoka nchini Tanzania wakiwa katika Jiji la Chicago Nchini Marekani wametumia fursa ya Mafunzo yaliyofanyika nchini humo kutangaza Utalii na vivutio vya vilivyopo nchini ikiwa ni kuunga mkono Juhudi za mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania Dkt Samia

Askari wa kike kutoka Tanzania walivyo tumia fursa Mkutano wa Dunia Marekani kutangaza utalii na vivutio Read More »

Dodoma Jiji yahamishia makao Babati

KLABU ya Dodoma Jiji imetangaza  itautumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati, mkoani Manyara katika mechi zake za nyumbani za Ligi Kuu kwa sasa wakati wakiufanyia marekebisho Uwanja wa Jamhuri jijini, Dodoma. Ofisa Habari wa Dodoma Jiji, Moses Mpunga, aliliambia gazeti hili watatumia kama uwanja wake wa nyumbani na wataanza katika mchezo wao dhidi ya

Dodoma Jiji yahamishia makao Babati Read More »

Mkurugenzi wa M Tours atembelea Makuyuni Wildlife Park

MKURUGENZI  wa Kampuni maarufu ya utalii inayofahamika kama M Tours, Bi. Elvera Verhagen akiwa ameambatana na babu yake Van Denzel kutoka Uholanzi Septemba 6, 2024, walitembelea eneo la Makuyuni Wildlife Park lililopo wilayani Monduli jijini Arusha kujionea vivutio mbalimbali vilivyopo na kupata fursa ya kufahamu namna wanavyoweza kufanya biashara ya utalii katika eneo hili hasa

Mkurugenzi wa M Tours atembelea Makuyuni Wildlife Park Read More »

Benki ya NBC kuchochea ukuaji wa biashara Tanzania – Afrika Kusini

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa wito kwa wafanyabaishara wa kitanzania kuchangamkia fursa mbalimbali za biashara baina ya Tanzania na Afrika kusini huku ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea  kuchochea na kuwezesha biashara baina ya mataifa hayo mawili kupitia ukuzaji wa mitaji na urahisishaji wa miamala. Wito huo umetolewa na Mkuu wa kwa Kitengo cha

Benki ya NBC kuchochea ukuaji wa biashara Tanzania – Afrika Kusini Read More »

Majaliwa aitaka Wizara ya Uchukuzi kusimamia huduma SGR

Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa na miundombinu inaimarishwa ili mradi huo uweze kudumu kwa muda mrefu. Amesema katika mwaka wa fedha 2024/2025, Serikali itaendeleza sekta ya uchukuzi ambapo pamoja na mambo mengine itasimamia sekta ya reli

Majaliwa aitaka Wizara ya Uchukuzi kusimamia huduma SGR Read More »