Admin

Wizara ya Katiba na Sheria yazindua Kituo cha Huduma kwa wateja leo

WIZARA ya Katiba na Sheria, imezindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Mteja cha Huduma za Kisheria ambacho kitakuwa kinapokea malalamiko, hoja maswali na tuhuma za rushwa kwa njia ya simu kutoka kwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi na kutatuliwa moja kwa moja na wataalamu. Kituo hicho kimezinduliwa leo jijini Dodoma na Waziri wa Katiba […]

Wizara ya Katiba na Sheria yazindua Kituo cha Huduma kwa wateja leo Read More »

Makalla atembelea Mpaka wa Tanzania na Kenya ‘Namanga One Stop’ aridhishwa kwa kazi nzuri

“Nimeridhika na kazi mnayoifanya hapa ‘Namanga One Stop Border Post’ nimejionea foleni ya magari sio kubwa, pamoja na kazi nzuri mnayoifanya endeleeni kuhakikisha suala la foleni linaisha kabisa huku mkiondoa urasimu pamoja na yote muongeze Ushirikiano kwani kwa sasa tupo Vizuri Sisi na majirani zetu wa Afrika Mashariki”. “Jambo la Mwisho wapeni Ushirikiano hawa wafanyabiashara

Makalla atembelea Mpaka wa Tanzania na Kenya ‘Namanga One Stop’ aridhishwa kwa kazi nzuri Read More »

Uadilifu na uzalendo viwe nguzo katika utendaji kazi wa mashirika yasiyo ya kiserikali -Wakili Mpanju

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju ametoa rai kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuzingatia uadilifu na uzalendo katika utekelezaji wa majukumu yao nchini bila kukiuka sera na sheria zilizowekwa. Ameyabainisha hayo katika Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Septemba 05,2024 linaloendelea Mkoani Dodoma.

Uadilifu na uzalendo viwe nguzo katika utendaji kazi wa mashirika yasiyo ya kiserikali -Wakili Mpanju Read More »

Macha aipongeza serikali, TANAPA ujenzi barabara

MKURUGENZI wa Kampuni ya Utalii ya Wolway Trekking Tanzania Limited, John Macha amepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia TANAPA kuboresha barabara zilizoathiriwa na mvua pamoja na wingi wa magari ya utalii yanayopita kwa siku. Katika barabara hiyo inakadiriwa takribani magari 300 mpaka 500 yaliyobeba watalii hupita. Mkurugenzi huyo ameyasema hayo leo alipozungumza na waandishi wa

Macha aipongeza serikali, TANAPA ujenzi barabara Read More »

Taasisi ya Doris Mollel yalaani Mtoto mchanga ayelawitiwa hadi kifo Dodoma

Taasisi ya Doris Mollel, imeelezea masikitiko yake kwa kutokea kwa tukio la kikatili ambalo linakiuka haki za msingi za mtoto na kuhatarisha mustakabali wa ustawi wa watoto nchini, hivyo wametoa pole kwa familia ya mtoto wa miezi sita aliyeuawa kikatili baada ya kubakwa na baba yake mzazi katika eneo la Mbuyuni, Kata ya Kizota, jijini

Taasisi ya Doris Mollel yalaani Mtoto mchanga ayelawitiwa hadi kifo Dodoma Read More »

Bobi Wine apigwa risasi ya mguu

Mwanasiasa mashuhuri Nchini Uganda ambaye pia ni Rais wa NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) amejeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni na Polisi wakati Polisi wakiwatawanya Wafuasi wake katika eneo la Bulindo Manispaa ya Kira. Vyombo vya Habari Nchini Uganda vimeripoti kuwa Bobi amepigwa risasi mguuni kauli ambayo imethibitishwa na Admin wa ukurasa wa X (zamani Twitter)

Bobi Wine apigwa risasi ya mguu Read More »