Admin

Bashungwa azigeukia kampuni za ujenzi zinazobabaisha wateja wao

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na kuanza kuwazungusha waliowapa kazi ambapo kitendo hicho kinaharibu taswira ya Makampuni ya Makandarasi wengine nchini. Bashungwa ametoa onyo hilo, leo Septemba 04, 2024 jijini Dar es salaam […]

Bashungwa azigeukia kampuni za ujenzi zinazobabaisha wateja wao Read More »

Dk.Mpango aipongeza Wizara ya Maji usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maji nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Philip Mpango ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma. Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi mzuri na utejelezaji wa miradi ya maji nchini.Pamoja na hilo pongezi hizi zimejukisha mradi wa maji Ibihwa na kusisitiza kuongeza kasi ya

Dk.Mpango aipongeza Wizara ya Maji usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maji nchini Read More »

DART hakikisheni wakazi Dar wanapata kadi janja za mabasi ya mwendokasi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo kwa Haraka (DART) kuhakikisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanapata kadi janja kwa urahisi na kuanza kuzitumia kwa ajili ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi. Mhe. Mchengerwa ametoa maelekezo hayo jijini Dar

DART hakikisheni wakazi Dar wanapata kadi janja za mabasi ya mwendokasi Read More »

Samia akutana na Rais wa China, asaini makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kikao na Rais wa China, Xi Jinping wamejadiliana kuimarisha uhusiamo mzuri uliodumu zaidi ya miaka 60. Rais Samia alikutana na Rais Jinping pamoja na ujumbe wake mapema leo katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing. Aidha, Rais Samia amefanikiwa kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia ya Tanzania na

Samia akutana na Rais wa China, asaini makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA Read More »

Benki ya NBC, ZSSF wasaini makubaliano ya mauzo ya nyumba za gharama nafuu Zanzibar 

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji (MoU) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) yanayotoa fursa kwa taasisi hizo mbili kuuza nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na mfuko huo katika makazi ya kisasa yanayofahamika kama Dkt. Hussein Mwinyi yaliyopo eneo la Mombasa kwa Mchina Mwanzo, visiwani Zanzibar. Makubaliano

Benki ya NBC, ZSSF wasaini makubaliano ya mauzo ya nyumba za gharama nafuu Zanzibar  Read More »

Miili 17 yapatikana kufuatia ajali ya helikopta ya watalii Urusi

Waokoaji katika eneo la mashariki mwa Urusi Urusi hawakupata mtu yeyote aliyenusurika kwenye mabaki ya helikopta iliyotoweka ikiwa imebeba watu 22 wengi wao wakiwa watalii. Ndege hiyo ilitoweka siku ya Jumamosi baada ya kupaa kutoka kambi moja karibu na volcano ya Vachkazhets katika rasi ya Kamchatka. Maafisa wanasema miili 17 ilikuwa imepatikana kufikia sasa. Eneo

Miili 17 yapatikana kufuatia ajali ya helikopta ya watalii Urusi Read More »