Admin

Benki ya NMB Yaingia Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati na K-FINCO ya Korea Kusini

Benki ya NMB leo imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) ya kushirikiana na Shirika la Korea Kusini linalojihusisha na kudhamini miradi katika sekta ya ujenzi la Korea Finance for Construction (K-FINCO). Lengo la makubaliano hayo ni kusaidia kuwawezesha wakandarasi wa Korea Kusini kushiriki kikamilifu katika miradi ya ujenzi nchini Tanzania ambapo NMB itaiwakilisha K-FINCO kwa kutoa […]

Benki ya NMB Yaingia Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati na K-FINCO ya Korea Kusini Read More »

Bei ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki-Kapinga

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hii ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku kwenye gharama ya mwananchi kununua umeme.  Kapinga amesema hayo leo Agosti 30, 2024 bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu maswali ya Wabunge ambao walitaka kufahamu iwapo kuanza kwa 

Bei ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki-Kapinga Read More »

Kampuni ya Sukari Kilombero yaboresha elimu ya wasichana kwa kuchangia taulo za kike Kilombero

Katika jitihada kubwa za kuboresha elimu ya wasichana na kuongeza uelewa kuhusu hedhi salama, Kampuni ya Sukari Kilombero imetoa zaidi ya taulo za kike 2,400 kwa wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Cane Growers iliyopo wilayani Kilombero. Jitihada hii inaonyesha ahadi ya Kampuni hiyo katika kukabiliana na tatizo la hedhi salama na kusaidia jamii

Kampuni ya Sukari Kilombero yaboresha elimu ya wasichana kwa kuchangia taulo za kike Kilombero Read More »

Makandarasi wametakiwa kuandaa zabuni shindani katika usimamizi wa miradi ya ujenzi

Makandarasi wameaswa kuandaa zabuni shindani na nzuri kwa kuzingatia misingi ya utayarishaji wa zabuni ikiwa ni pamoja na uandaaji wa bei za zabuni. Aidha, wameaswa kutumia ujuzi walioongeza katika kuboresha zabuni na pia kuendelea kutafuta na kuongeza ujuzi na maarifa kupitia njia mbalimbali kama mafunzo rasmi, mitandao, mikutano, n.k. Akizungumza wakati wakufunga mafunzo ya Maandalizi

Makandarasi wametakiwa kuandaa zabuni shindani katika usimamizi wa miradi ya ujenzi Read More »

Benki ya TCB yaahidi kuongezakasi uwekezaji soko la Kimataifa

BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TCB, Adam Mihayo, ameyasema hayo jana wakati akizungumza kwenye kikao kazi cha siku tatu kilichofunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan na kuwakutanisha wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa taasisi za

Benki ya TCB yaahidi kuongezakasi uwekezaji soko la Kimataifa Read More »

Serikali inaendelea na majadiliano na kampuni za nishati za kimataifa – Kapinga

Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies – IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi asilia kuwa Kimiminika – LNG na yakikamilika Serikali itaupeleka kwenye hatua inayofuata. Kapinga amesema hayo leo Agosti 29, 2024 bungeni jijini Dodoma alipokuwa

Serikali inaendelea na majadiliano na kampuni za nishati za kimataifa – Kapinga Read More »

Ulega: Rais Samia kuongoza Mkutano wa Mawaziri zaidi ya 70 Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaongoza Mawaziri zaidi ya 70 kutoka mataifa wanachama wa Umoja wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS) kujadili masuala mbalimbali ya uchumi wa buluu ili kuweka mkakati wa pamoja kuimarisha sekta ya uvuvi. Hayo yamebainishwa leo Agosti 29, 2024 na Waziri wa Mifugo na

Ulega: Rais Samia kuongoza Mkutano wa Mawaziri zaidi ya 70 Tanzania Read More »

Dk. Biteko: Tanzania yajipanga kutumia nishati ya nyuklia kuzalisha umeme

Tanzania imeeleza mpango na utayari wake katika uendelezaji wa nishati ya nyuklia ikiwa ni moja ya vyanzo mbadala vya nishati safi ya umeme kwa maendeleo ya kiuchumi na ustawi wa jamii. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akiwasilisha Mpango wa Tanzania katika Mkutano wa Pili wa

Dk. Biteko: Tanzania yajipanga kutumia nishati ya nyuklia kuzalisha umeme Read More »