Timu za Tanzania zaendelea kugawa dozi michuano FEASSSA 2024
TIMU za Tanzania zinazoshiriki michuano ya Shule za Msingi na Sekondari ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) zimeendelea kung’ara kwa kugawa dozi kwa timu pinzani katika michezo mbalimbali inayofanyika Mji wa Mbale nchini Uganda. Michuano hiyo inayofanyika viwanja vya Shule ya Sekondari Bukedea Mjini humo, Agosti 21, 2024, Timu ya Soka ya wasichana […]
Timu za Tanzania zaendelea kugawa dozi michuano FEASSSA 2024 Read More »