Admin

Raia wa China aliyejifungua mapacha Hospitali ya Regency ashukuru huduma nzuri

RAIA wa China, Liya Zhang (31), ambaye amejifungua watoto mapacha watatu wa kiume katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es Salaam ameshukuru kwa huduma nzuri alizopata. Raia huyo alijifungua watoto hao siku ya Jumapili usiku hospitalini hapo na mpaka sasa anaendelea vizuri yeye na watoto wake hao watatu. Akizungumza hospitalini hapo, Liya alisema awali […]

Raia wa China aliyejifungua mapacha Hospitali ya Regency ashukuru huduma nzuri Read More »

One of the small food business owners at the Msamvu market in Morogoro, Ms. Halima Kimairo, who is one of the beneficiaries of a 50 cooking gas cylinders credit program from Taifa Gas company, continues with her business activities in the market towards the end of the week. The loan is part of the trial leading to the implementation of the company's larger plan that aims to provide the type of energy loan to 1,000 entrepreneurs in each region across the country.

Taifa Gas Empowers Young Entrepreneurs in Morogoro with Clean Energy Access

Taifa Gas Company has announced its initiative to support young entrepreneurs in Morogoro by facilitating easy access to clean and safe energy. The move aligns with the ongoing efforts of the President of the United Republic of Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, to ensure the widespread availability of clean energy in the country. Approximately 50

Taifa Gas Empowers Young Entrepreneurs in Morogoro with Clean Energy Access Read More »

Kamishina Jenerali Lyimo aongoza kuteketeza hekari 1,165 za mashamba ya bangi Morogoro

MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA )imeteketeza jumla ya ekari 1,165 za mashamba ya Bangi pamoja na kukamata kilogramu 102 za mbwgi za bangi katikavijiji vya Mafumbo na Lujenge mkoani Morogoro. Akizungumza Kamishna Jenerali wa mamlaka hiyo (DCEA)Aretas Lyimo baada ya uteketezaji huo alisema mashamba hayo yalikua yamelimwa pembezoni mwa mto Mbakana,Misigiri,

Kamishina Jenerali Lyimo aongoza kuteketeza hekari 1,165 za mashamba ya bangi Morogoro Read More »

Benki ya NBC yachochea ukuaji sekta ya Michezo, Burudani na Utalii Zanzibar, Rais Samia, Dk.Mpango wapongeza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mwishoni mwa wiki ilishiriki kikamilifu kwenye Tamasha la Kizimkazi Zanzibar kwa kuandaa matukio kadhaa ya kimichezo, burudani na utalii visiwani humo yaliyohusisha uwepo wa viongozi wakuu wa nchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango na viongozi

Benki ya NBC yachochea ukuaji sekta ya Michezo, Burudani na Utalii Zanzibar, Rais Samia, Dk.Mpango wapongeza Read More »

“Fountain Gate ni timu nzuri, tumejiandaa vizuri lakini”

“Fountain Gate ni timu nzuri sana ambayo imejitengeneza vizuri kwenye ulinzi. Tumejiandaa vizuri lakini tunawachukulia kwa uzito mkubwa na tunawaheshimu kama timu nzuri na tumejiandaa kama siku zote kwa ajili ya kuchukua pointi tatu. “Nafurahishwa na njia zetu za kutengeneza nafasi na kufungua wapinzani. Tunataka kuwa na aina ya uchezaji wa haraka. Nina uhakika Fountain

“Fountain Gate ni timu nzuri, tumejiandaa vizuri lakini” Read More »

Shule ya Sekondari Hasnuu Makame yaitikia agizo la matumizi ya Nishati safi ya kupikia

Moja ya maagizo ya Serikali kuelekea katika safari matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini ni taasisi zikiwemo shule kuachana na matumizi ya nishati zisizo safi na salama kama kuni na mkaa wa asili na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia ikiwemo gesi. Shule ya Sekondari ya Hasnuu Makame, iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani

Shule ya Sekondari Hasnuu Makame yaitikia agizo la matumizi ya Nishati safi ya kupikia Read More »

REA yawapa tuzo wakandarasi waliofanya vizuri miradi ya Peri Urban III

Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imewapa tuzo na vyeti maalum Wakandarasi waliofanya vizuri kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) kote nchini ndani ya muda uliopangwa na kwa ubora unatakiwa. Awali, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi, Hassan, Saidy alisema utendaji madhubuti (Performance) na kukamilisha Miradi ya

REA yawapa tuzo wakandarasi waliofanya vizuri miradi ya Peri Urban III Read More »

Verified by MonsterInsights