Admin

Waziri Kabudi ampongeza mjasiriamali aliyenufaika na mafunzo ya SDF

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi ameeleza kufurahishwa kwake na mjasiriamali aliyenufaika na mafunzo ya kuendeleza ujuzi kupitia Mfuko wa  SDF wa Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA. Esther Shebe ambaye amenufaika na mafunzo ya kuendeleza ujuzi kupitia Mfuko wa Kuendeleza Ujuzi (SDF) wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) anavyotengeneza bidhaa mbalimbali.

Waziri Kabudi ampongeza mjasiriamali aliyenufaika na mafunzo ya SDF Read More »

Dhamira ya Serikali kutekeleza mradi mkubwa kuchakata, kusindika LNG

📌 Asema kiu ya Serikali ni kuona mradi unatekelezwa ila maslahi ya Taifa ndiyo kipaumbele 📌 Alieleza Bunge hatua zinazochukuliwa na Serikali kuhamasisha ujenzi wa vituo vya gesi (CNG) na matumizi 📌 Aeleza kuhusu kuundwa kwa Timu kuangalia unafuu wa gharama za umeme kwa Wananchi 📌 Kapinga azungumzia kazi za kupeleka umeme wa Gridi Rukwa,

Dhamira ya Serikali kutekeleza mradi mkubwa kuchakata, kusindika LNG Read More »

Tuzo ya Kijana Mwenye Ushawishi Barani Afrika yamfikia Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Picha ya pamoja na Mtanzania Steven Magombeka Maarufu Kama Kasampaida ambae hivi karibuni alishinda Tuzo ya Vijana Wenye Ushawishi Barani Afrika, akikabidhi Tuzo hiyo kwa Rais Ikulu ya Chamwino Dodoma leo April 29,2025. Itakumbukwa Kijana Magombeka alishinda Tuzo hiyo tarehe 12 ya mwezi

Tuzo ya Kijana Mwenye Ushawishi Barani Afrika yamfikia Rais Samia Read More »

CBE yawakumbuka wenye uoni hafifu na usikivu hafifu Shule ya Benjamin Mkapa

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 4.4 kwa shule ya elimu jumuishi ya Benjamin Mkapa ya jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada huo ni mashine ya kukuzia maandishi kwa wanafunzi wenye uoni hafifu, vifaa vya kusaidia usikivu kwa wenye usikivu hafifu (hearing aid) na

CBE yawakumbuka wenye uoni hafifu na usikivu hafifu Shule ya Benjamin Mkapa Read More »

The VYZOV Prize Opens Doors for African Scientists Working on Breakthrough Technologies

📌Applications open until May 21 for international researchers contributing to the future of science and innovation African researchers focused on solving real-world scientific and technological challenges are invited to take part in the 2025 edition of the VYZOV (“a challenge” in Russian) Future Technologies Award, an international competition that is designed to recognise breakthrough ideas

The VYZOV Prize Opens Doors for African Scientists Working on Breakthrough Technologies Read More »

WCF yapongezwa kwa kujumuisha Wafanyakazi Wenye Mahitaji Maalumu

Watumishi hao walimueleza Kikwete namna WCF inavyowajumuisha kikamilifu katika kila hatua na matukio yote yanayohusisha wafanyakazi na kuwawezesha kwa kuwapatia vifaa wezeshi vinavyowarahisishia kutekeleza majukumu yao ya kila siku. “Nilipoanza kazi WCF, waliniuliza vifaa ninavyohitaji katika kutekeleza majukumu yangu, ambapo niliwaeleza na nilipatiwa vifaa hivyo na kwa sasa ninaendelea kutekeleza mjukumu yangu kikamilifu” Alieleza Bw.

WCF yapongezwa kwa kujumuisha Wafanyakazi Wenye Mahitaji Maalumu Read More »