Bunge laridhia marekebisho ya mpaka wa Hifadhi ya Taifa Nyerere
Bunge limeridhia ombi la Serikali la kumega sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kwa lengo la kutatua migogoro ya mipaka na kuwezesha shughuli za maendeleo kuendelea katika mazingira rafiki kwa jamii na uhifadhi. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana, akiwasilisha azimio hilo bungeni, amesema kuwa Serikali imeamua kumega eneo lenye ukubwa […]
Bunge laridhia marekebisho ya mpaka wa Hifadhi ya Taifa Nyerere Read More »