Admin

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi kwa watumishi

– Atembelea Banda la Tume ya Madini Katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Dodoma, Juni 23, 2025 Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la Tume ya Madini katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayohitimishwa leo katika viwanja vya

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi kwa watumishi Read More »

Kongamano fursa za ajira CBE laibua fursa kwa wanafunzi

Wizara ya Viwanda na Biashara imeweka mkakati wa kuhakikisha kuwa taasisi za elimu zinatoa mafunzo yanayozalisha wahitimu wenye uwezo wa kuzalisha ajira kwa wengine badala ya kusubiri kuajiriwa. Kauli hiyo aliitoa Naibu Waziri wa wizara hiyo, Exaud Kigahe mwishoni mwa wiki wakati wa kongamano la kuimarisha fursa za ajira na maendeleo endelevu ya Tanzania kaulimbiu

Kongamano fursa za ajira CBE laibua fursa kwa wanafunzi Read More »

Morrison: Hata ningebaki mguu mmoja, nisingetoka

Winga wa KenGold FC, Bernard Morrison, amesema asingekubali kutoka uwanjani hata kama angekuwa na mguu mmoja baada ya kugomea kubadilishwa katika mechi dhidi ya Simba waliyochapwa 5-0. Morrison, ambaye alisifika kwa vituko alipokuwa Simba na Yanga, alisema yeye ndiye aliyekuwa anaisumbua Simba kuliko wachezaji wengine wa KenGold: “Hata kama ningebaki na mguu mmoja bado nisingetoka,

Morrison: Hata ningebaki mguu mmoja, nisingetoka Read More »

Miloud amwaga mkwara Dodoma Jiji

Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi, ametamba kuwa anaiandaa timu yake kupata ushindi mkubwa dhidi ya Dodoma Jiji FC, kama ilivyofanya dhidi ya Tanzania Prisons (5-0), ili kujiweka sawa kuelekea dabi na Simba. Yanga itacheza dhidi ya Dodoma Jiji Jumapili ijayo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Hamdi amesema ushindi huo ni muhimu kwa sababu

Miloud amwaga mkwara Dodoma Jiji Read More »

Fadlu Afunguka, aitaja Dabi

Kocha wa Simba, Fadlu Davids, amethibitisha rasmi kuwa timu yake inajiandaa kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga utakaopigwa Juni 25, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Fadlu alitoa kauli hiyo baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Kengold FC, akieleza kuwa kwanza watakamilisha mchezo dhidi ya Kagera Sugar kabla ya kuelekeza nguvu zote kwenye

Fadlu Afunguka, aitaja Dabi Read More »