Ridhiwani Kikwete: Nidhamu na maadili kazini ni msingi wa mfanisi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, amewataka waajiri na waajiriwa kuhakikisha wanazingatia nidhamu, maadili na utawala bora katika maeneo ya kazi ili kuweka uwiano mzuri kati ya wafanyakazi na viongozi wao. Amesema nidhamu kazini, maadili na utumishi uliotukuka ni mambo ya msingi ambayo viongozi na wakuu […]
Ridhiwani Kikwete: Nidhamu na maadili kazini ni msingi wa mfanisi Read More »