Rekodi za mapato, gawio la wanahisa NMB vyatikisa Kongamano la Uwekezaji Z’bar
Benki ya NMB imewahakikishia wawekezaji wadogo, wa kati na wakubwa walioshiriki Kongamano la Uwekezaji Zanzibar lililoratibiwa na Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA), kuwa iko imara kifedha kuwawezesha kushiriki Mapinduzi ya Kiuchumi visiwani humo na Tanzania kwa ujumla. Uthibitisho wa uimara wa NMB ni kuingia kwa benki hiyo katika Klabu ya Kampuni Zenye Thamani ya zaidi […]
Rekodi za mapato, gawio la wanahisa NMB vyatikisa Kongamano la Uwekezaji Z’bar Read More »