Balozi Dk. Nchimbi atembelea Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Ethiopia

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia, mjini Addis Ababa, alipotembelea ofisini hapo wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.

Kulia kwa Balozi Nchimbi ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Innocent Eugene Shiyo, na kushoto kwake ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) – Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Abdalla Hamid.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *