KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Dodoma, jana Februari 02, 2025, mara baada ya Balozi Nchimbi kurejea nchini, akitokea ziara ya kikazi nchini Ethiopia.



Balozi Prof. Costa Ricky Mahalu, walipokutana jana Februari 02, 2025, Uwanja wa Ndege wa Dodoma.