Biashara

Benki ya Exim yatangaza mafanikio makubwa na mwelekeo madhubuti mwaka 2025

Benki ya Exim Tanzania imeanza mwaka kwa mafanikio makubwa, baada ya kuhitimisha robo ya kwanza ya mwaka 2025 kwa matokeo chanya yanayoonesha kasi ya ukuaji, ufanisi wa utendaji na jitihada madhubuti zinazolenga ubunifu na ujumuishaji wa huduma za kifedha kwa wote. Kwa kipindi kilichoishia Machi 2025, benki ya Exim imetoa takwimu thabiti za kifedha ambazo […]

Benki ya Exim yatangaza mafanikio makubwa na mwelekeo madhubuti mwaka 2025 Read More »

REA yahamasisha fursa ya mkopo ujenzi wa vituo vidogo vya bidhaa za mafuta vijijini

📌Watanzania watakiwa kuchangamkia ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta ya Dizeli na Petroli Vijijini 📌TAPSOA yaipongeza REA kwa kuhamasisha upatikanaji wa uhakika wa bidhaa za mafuta vijijini kwa usafi na usalama 📍Dar es Salaam Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kuwahamasisha Watanzania kuchangamkia fursa ya mikopo kwa ajili ya kuwezesha ujenzi na uendeshaji

REA yahamasisha fursa ya mkopo ujenzi wa vituo vidogo vya bidhaa za mafuta vijijini Read More »

Serikali yaipongeza CTI na TANTRADE maandalizi mazuri ya EXPO 2025

SERIKALI imelipongeza Shirikisho  la Wenye Viwanda Tanzania (CTI), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE),  kuandaa vyema uratibu wa Maonesho ya Kimataifa ya Wazalishaji  yajulikanayo kama TIMEXPO 2025. Maonyesho hayo yatafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 22 Novemba mwaka huu  katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na yanatarajiwa kuhudhuriwa na waonyeshaji

Serikali yaipongeza CTI na TANTRADE maandalizi mazuri ya EXPO 2025 Read More »

Sekta  ya Madini yafikia mchongo wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa

▪️ Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini ▪️*Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025* ▪️ Sekta  Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni ▪️ Waziri Mavunde Awashukuru Watendaji, Watumishi na Wadau wa Sekta ya Madini 📍 Dodoma Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya

Sekta  ya Madini yafikia mchongo wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa Read More »

TECNO yawaasa vijana kuhusu teknolojia ya AI, yazindua CAMON 40

Vijana wameaswa kukumbatia na kuichangamkia teknolojia mpya ya Akili Bandia yaani AI kwani haikwepeki kwa ulimwenguwa sasa hivi. Hayo yamesemwa na Mkufunzi wa kampuni ya TECNO, Jackline Saigero wakati wa uzinduzi rasmi wa simu mpya ya CAMON 40 JIjini Dar es Salaam ambayo ina uwezo mkubwa wa teknolojia ya AI. “Teknoljia hii haikwepeki kabisa katika

TECNO yawaasa vijana kuhusu teknolojia ya AI, yazindua CAMON 40 Read More »

Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wajivika jukumu la kutangaza vivutio vya Tanzania

Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali pamoja na mashirika ya kimataifa wameonesha kuvutiwa na vivutio vilivyoko nchini, huku wakiahidi kuiongezea nguvu Tanzania katika kutangaza vivutio hivyo kwenye nchi wanakotoka. Wakizungumza jana katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, mabalozi hao

Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wajivika jukumu la kutangaza vivutio vya Tanzania Read More »

AXIAN Telecom yapata dola milioni 100 kutoka EIB Global kuboresha intaneti Tanzania na Madagascar

📌Huu ukiwa ni mkakati wa Global Gateway wa Umoja wa Ulaya kuunga mkono uwekezaji wa huduma ya intaneti nchini Tanzania na Madagascar. 📌Mradi huu unatarajiwa kuongeza zaidi ya mara mbili ueneaji wa mtandao wa 4G nchini Madagascar na Tanzania na kuendeleza zaidi usambazaji wa teknolojia ya 5G. Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank

AXIAN Telecom yapata dola milioni 100 kutoka EIB Global kuboresha intaneti Tanzania na Madagascar Read More »