Biashara

JiBoost ya Airtel Money kutoa bonasi ya shilingi 20,000 kwa wateja wake

Katika jitihada endelevu za kuboresha huduma za mawasiliano kwa wateja wetu nchini, Airtel Tanzania imezindua promosheni mpya ya ‘JiBoost na Airtel Money’ ambayo inawapa nafasi watumiaji wa Airtel Money kujipatia shilingi 20,000 taslimu ya supa bonasi kupitia miamala ya kila siku watakayofanya. Mpango huo ni sehemu ya maono ya kampuni ya Airtel kupanua huduma ya […]

JiBoost ya Airtel Money kutoa bonasi ya shilingi 20,000 kwa wateja wake Read More »

Zanzibar kuimarisha ushirikiano na kituo cha Utafiiti wa Mboga Mboga Arusha

Ikiwa ni sehemu ya kuimarisha na kuboresha sekta ya kilimo hususani sekta ndogo ya mboga mboga na matunda pamoja na kuongeza usalama wa chakula, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeelezea utayari wake wa kuongeza kasi ya ushirikiano na Kituo cha Utafiti wa Mboga Mboga kilichopo jijini Arusha (World Vegetable Center). Ikiwa ni sehemu ya kuimarisha na

Zanzibar kuimarisha ushirikiano na kituo cha Utafiiti wa Mboga Mboga Arusha Read More »

Waziri Katimba aeleza athari matumizi nishati isiyo safi, ataka kuungwa mkono makakati Nishati Safi

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Zainabu Katimba ametoa rai kwa wananchi kuunga mkono kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambayo ni Ajenda iliyoanzishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan. “Nyakati zimebadilika, tuunge mkono juhudi za Mheshimiwa Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan

Waziri Katimba aeleza athari matumizi nishati isiyo safi, ataka kuungwa mkono makakati Nishati Safi Read More »

Akiba Benki yazindua kampeni “Tupo Mtaani Kwako” kibabe

Kaimu Afisa Mkuu wa Kitengo Biashara Benki ya Akiba, Danford Muyango amesema taasisi za kifedha hazina budi kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi kwa kuwasogezea karibu ili kusaidia kupunguza adha ya kutumia muda mwingi kufuata huduma umbali mrefu na kuchelewa kufanya shughuli zao za kiuchumi. Kauli hiyo ameitoa leo Septemba 21, 2024 Jijini

Akiba Benki yazindua kampeni “Tupo Mtaani Kwako” kibabe Read More »

Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa Nishati Safi ya kupikia

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia utakaowafanya watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo 2034. Kapinga aliyasema hayo Septemba 19, 2024 katika Kongamano la wanawake na mabinti mkoani Geita lenye lililokuwa na lengo la kutoa elimu ya nishati safi ya kupikia,  kujadili

Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa Nishati Safi ya kupikia Read More »

Mkurugenzi Benki ya NBC ataja suluhisho uimarishaji huduma ya bima jumuishi nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Bw Theobald Sabi, amesisitiza umuhimu wa teknolojia, elimu kwa umma pamoja na ubia baina ya wadau muhimu wa sekta ya bima ikiwemo serikali, taasisi za fedha na kampuni za mitandao ya simu kama suluhisho muhimu katika kuimarisha na kuchochea kasi ya upatikanaji wa huduma ya bima

Mkurugenzi Benki ya NBC ataja suluhisho uimarishaji huduma ya bima jumuishi nchini Read More »