Kamati ya Bunge yaridhishwa utendaji kazi Wizara ya Nishati,yakoshwa na ETDCO kuongeza ufanisiÂ
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake katika kuiimarisha Sekta ya Nishati nchini. Pongezi hizo zimetolewa baada ya Wizara ya Nishati kupitia Taasisi zake za Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Kampuni Tanzu ya TANESCO ya Ujenzi na […]