Biashara

Benki ya NMB yanyakua tuzo zaidi ya 30 za ubora na umahiri mwaka 2024

Benki ya NMB imedhihirisha tena ukubwa wake nchini, baada ya mwaka huu kuweka rekodi kwa kutwaa zaidi ya tuzo 30 zinazotambua ubora wa huduma zake, ubunifu, ufanisi katika uendeshaji na utendaji, pamoja na mchango wake mkubwa katika ujenzi wa taifa. Mafanikio hayo ya kipekee kitasnia na makubwa kitaifa na kimataifa yalibainishwa jana jijini Mwanza na […]

Benki ya NMB yanyakua tuzo zaidi ya 30 za ubora na umahiri mwaka 2024 Read More »

Kusherehekea Ujumuishwaji: Ahadi ya SBL ya kuwawezesha watu wenye ulemavu

Kila tarehe 3 Desemba ya mwaka, dunia inaungana kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu kumbukumbu muhimu ya kutetea haki, kuongeza uelewa, na kuimarisha ujumuishi kwa mamilioni ya watu wenye ulemavu duniani kote. Kaulimbiu ya mwaka huu, “Kuimarisha Uongozi wa Watu Wenye Ulemavu kwa Ajili ya Mustakabali Jumuishi na Endelevu,” inachochea uchukuaji wa hatua

Kusherehekea Ujumuishwaji: Ahadi ya SBL ya kuwawezesha watu wenye ulemavu Read More »

Jinsi muundo wa kodi ya bia Tanzania unavyowaathiri wazalishaji wadogo

Wakati watumiaji wa bia wakianza kufurahia msimu wa sherehe za mwaka huu, wengi wao huenda hawafahamu ya kwamba chapa zao pendwa huenda zisidumu kwenye rafu mbalimbali nchini kwa muda mrefu. Mapema mwezi huu, Mkurugenzi Mtendaji wa Serengeti Breweries Limited (SBL), Obinna Anyalebechi, alionya juu ya uwezekano wa mabadiliko makubwa katika sekta ya bia nchini Tanzania,

Jinsi muundo wa kodi ya bia Tanzania unavyowaathiri wazalishaji wadogo Read More »

Mega Beverages yaadhimisha miaka 20 kinamna yake, yatambulisha toleo maalum la K-Vant Premium Spirit

Mega Beverages Limited (MBL), Kampuni inayotambulika katika sekta ya vinywaji Tanzania, imeadhimisha miongo miwili ya mafanikio kwa kuzindua toleo maalum la K-Vant Premium Spirit. Bidhaa hii ya toleo maalum, itapatikana kwa muda mfupi tu hadi shehena itakapomalizika, inakuja kwa wakati muafaka wa msimu huu wa sikukuu, ikiahidi kuleta shangwe kupitia kinywaji chake cha kipekee ambacho

Mega Beverages yaadhimisha miaka 20 kinamna yake, yatambulisha toleo maalum la K-Vant Premium Spirit Read More »

Vodacom na Sanlam Investments Wazindua M-Wekeza, Uwekezaji Kupitia Simu

📌Huduma mpya inawawezesha watumiaji kuwekeza wakati wowote na mahali popote Kampuni inayoongoza katika Teknolojia na Mawasiliano, Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na Sanlam Investments East Africa Limited, leo wamezindua M-Wekeza, huduma ya kibunifu ya uwekezaji iliyoundwa ili kuleta fursa rahisi za uwekezaji kwa watumiaji wa M-Pesa kupitia njia ya kidijitali ya simu zao za mkononi.

Vodacom na Sanlam Investments Wazindua M-Wekeza, Uwekezaji Kupitia Simu Read More »

Serengeti Lite yazindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ kuchochea ubunifu  

Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ chini ya bia yake ya Serengeti Lite. Kampeni hii inalenga kuhamasisha vijana wa Kitanzania kuibua vipaji vya ubunifu, kujieleza kwa uhuru, na kuboresha maisha yao kupitia ubunifu.   Uzinduzi wa kampeni hii uliofanyika jijini Dar es Salaam uliwakutanisha watu mashuhuri, waandishi wa maudhui,

Serengeti Lite yazindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ kuchochea ubunifu   Read More »

Benki ya NBC Yatambulisha Kampeni ya Kilimo Mahususi Kwa Wakulima na Wafugaji Mbeya

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imetambulisha kampeni yake ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ kwa wakulima na wafugaji wa wilaya za Rungwe na Kyela mkoani Mbeya ikiwa ni muendelezo wa jitihada za benki hiyo kuchochea kasi ya ukuaji wa sekta za kilimo na  ufugaji nchini kupitia uchumi jumuishi unaochagizwa na huduma

Benki ya NBC Yatambulisha Kampeni ya Kilimo Mahususi Kwa Wakulima na Wafugaji Mbeya Read More »