Biashara

Waziri Mavunde azindua toleo jipya la kitabu cha madini viwandani

●Kitabu chaonesha uwepo wa madini viwanda 43 ●GST yawakaribisha wadau kutumia taarifa za utafiti. Imeelezwa kwamba Tanzania ina aina mbalimbali za madini ya viwandani ambapo kwa mujibu wa toleo jipya la pili la kitabu cha madini viwandani kilichoandikwa na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kimeonesha aina 43 za madini viwandani ambayo […]

Waziri Mavunde azindua toleo jipya la kitabu cha madini viwandani Read More »

Vodacom yaungana na Bolt kukuza ujumuishwaji wa kifedha kupitia malipo ya kidijitali 

*Kutoa mikopo ya simu, bima za aina mbalimbali na mafuta kwa madereva, ili kuwawezesha kutoa huduma bora zaidi Vodacom Tanzania Plc imetangaza ushirikiano wa kimkakati na Bolt, moja kati ya makampuni makubwa ya teksi mtandao, wakitoa huduma za usafiri nchini, kwa lengo la kuongeza ujumuishwaji wa kifedha kwa madereva na kukuza malipo ya kidijitali. Ushirikiano

Vodacom yaungana na Bolt kukuza ujumuishwaji wa kifedha kupitia malipo ya kidijitali  Read More »

NMB yatenga Mil. 450/- kuzawadia wateja Kampeni ya MastaBata ‘La Kibabe’

BENKI ya NMB imezindua msimu wa sita wa kampeni maalum ya kuhamasisha matumizi na malipo kwa njia ya kadi ‘NMB MastaBata – La Kibabe,’ ambayo kwa miezi mitatu mfululizo wateja wa benki hiyo watajishindia zawadi zenye thamani ya zaidi ya Sh. Mil. 300, pamoja na safari za utalii wa ndani na nje ya nchi. NMB

NMB yatenga Mil. 450/- kuzawadia wateja Kampeni ya MastaBata ‘La Kibabe’ Read More »

Benki ya Equity Tanzania yasaini mkataba wa kuwawezesha wanawake kiuchumi

Benki ya Equity Tanzania jana tarehe 5 Novemba 2024, imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania, washauri wabobezi wa biashara, kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha wanawake kiuchumi. Mradi huu unafanyika kwa ushirikiano na Taasisi ya Maendeleo ya Kimataifa ya African Guarantee Fund/AFAWA. Lengo kuu la mradi huu ni kuwajengea wanawake uwezo

Benki ya Equity Tanzania yasaini mkataba wa kuwawezesha wanawake kiuchumi Read More »

Kapinga: Serikali mbioni kuja na mradi kuimarisha upatikanaji umeme vitongojini

📌  Kuhusisha transfoma za kVA50, 100 na 200 📌 Vitongoji ambavyo havijapata umeme kufikiwa Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia kuanza mradi mpya wa upelekaji umeme  vitongojini utakaohusisha ujenzi wa njia za kati na ndogo za kusafirisha umeme.  Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 31, 2024 bungeni jijini Dodoma  wakati akijibu swali la

Kapinga: Serikali mbioni kuja na mradi kuimarisha upatikanaji umeme vitongojini Read More »

Bwana Sukari yazindua rasmi Sukari ya Vifungashio Kanda ya Ziwa

Katika hatua ya kihistoria kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa, chapa inayoongoza ya sukari nchini Tanzania, Bwana Sukari, chini ya kampuni ya Kilombero Sugar Company, imezindua rasmi sukari yake yenye vifungashio jijini Mwanza. Uzinduzi huu unalenga kuleta unafuu wa bei, usafi, afya ya mlaji, na urahisi wa upatikanaji wa bidhaa hiyo, ikilinganishwa na sukari ya

Bwana Sukari yazindua rasmi Sukari ya Vifungashio Kanda ya Ziwa Read More »

Meya Temeke awaonya boda boda mikopo ya kausha damu

Benki ya Biashara ya DCB imezindua mikopo ya boda boda na bajaji yenye masharti nafuu, ikiwa na lengo la kuwaondolea adha na usumbufu vijana wanaojishughulisha na biashara ya usafiri wa boda boda wanayoipata kutoka baadhi ya watu wanaotoa mikopo yenye masharti magumu maarufu kama ‘mikopo umiza ama kausha damu’. Akizungumza katika hafla hiyo, Mbagala, Temeke,

Meya Temeke awaonya boda boda mikopo ya kausha damu Read More »

“Machinga Complex ni mkombozi kwa wafanyabiashara wadogo Dodoma”- Mavunde

Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amesema uwapo wa soko la Machinga Complex jijini Dodoma limesaidia wafanyabiashara wadogo kufanya biashara zao kwa utulivu na kuwahamasisha kuchangamkia fursa ya mikopo inayotolewa na halmashauri. Aidha, amewataka mgambo wa Jiji hilo  kuacha kutumia mabavu makubwa wanaposhughulika na wafanyabiashara wadogo ili biashara zao ziwe na tija. Akizungumza kwenye mkutano

“Machinga Complex ni mkombozi kwa wafanyabiashara wadogo Dodoma”- Mavunde Read More »