Honda yazindua toleo jipya la Honda ACE 150 Kwa kishindo
Waendesha pikipiki nchini Tanzania sasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kampuni ya Honda Motors leo kuzindua toleo la ACE 150 lililoboreshwa jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam, Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Honda Motors Kusini mwa Afrika, Hideki Shinjo amesema wanaona […]
Honda yazindua toleo jipya la Honda ACE 150 Kwa kishindo Read More »