Biashara

Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme kimefikia asilimia 50 – Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini ambapo inatekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha kupokea umeme cha Tunduru ambacho utekelezaji wake umefikia asilimia 50. Rais Samia ameyasema hayo leo Septemba 28, 2024 wakati akihitimisha ziara yake mkoani Ruvuma iliyokuwa na lengo […]

Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme kimefikia asilimia 50 – Rais Samia Read More »

JiBoost ya Airtel Money kutoa bonasi ya shilingi 20,000 kwa wateja wake

Katika jitihada endelevu za kuboresha huduma za mawasiliano kwa wateja wetu nchini, Airtel Tanzania imezindua promosheni mpya ya ‘JiBoost na Airtel Money’ ambayo inawapa nafasi watumiaji wa Airtel Money kujipatia shilingi 20,000 taslimu ya supa bonasi kupitia miamala ya kila siku watakayofanya. Mpango huo ni sehemu ya maono ya kampuni ya Airtel kupanua huduma ya

JiBoost ya Airtel Money kutoa bonasi ya shilingi 20,000 kwa wateja wake Read More »

Zanzibar kuimarisha ushirikiano na kituo cha Utafiiti wa Mboga Mboga Arusha

Ikiwa ni sehemu ya kuimarisha na kuboresha sekta ya kilimo hususani sekta ndogo ya mboga mboga na matunda pamoja na kuongeza usalama wa chakula, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeelezea utayari wake wa kuongeza kasi ya ushirikiano na Kituo cha Utafiti wa Mboga Mboga kilichopo jijini Arusha (World Vegetable Center). Ikiwa ni sehemu ya kuimarisha na

Zanzibar kuimarisha ushirikiano na kituo cha Utafiiti wa Mboga Mboga Arusha Read More »

Waziri Katimba aeleza athari matumizi nishati isiyo safi, ataka kuungwa mkono makakati Nishati Safi

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Zainabu Katimba ametoa rai kwa wananchi kuunga mkono kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambayo ni Ajenda iliyoanzishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan. “Nyakati zimebadilika, tuunge mkono juhudi za Mheshimiwa Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan

Waziri Katimba aeleza athari matumizi nishati isiyo safi, ataka kuungwa mkono makakati Nishati Safi Read More »