Biashara

Akiba Benki yazindua kampeni “Tupo Mtaani Kwako” kibabe

Kaimu Afisa Mkuu wa Kitengo Biashara Benki ya Akiba, Danford Muyango amesema taasisi za kifedha hazina budi kurahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi kwa kuwasogezea karibu ili kusaidia kupunguza adha ya kutumia muda mwingi kufuata huduma umbali mrefu na kuchelewa kufanya shughuli zao za kiuchumi. Kauli hiyo ameitoa leo Septemba 21, 2024 Jijini […]

Akiba Benki yazindua kampeni “Tupo Mtaani Kwako” kibabe Read More »

Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa Nishati Safi ya kupikia

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia utakaowafanya watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo 2034. Kapinga aliyasema hayo Septemba 19, 2024 katika Kongamano la wanawake na mabinti mkoani Geita lenye lililokuwa na lengo la kutoa elimu ya nishati safi ya kupikia,  kujadili

Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa Nishati Safi ya kupikia Read More »

Mkurugenzi Benki ya NBC ataja suluhisho uimarishaji huduma ya bima jumuishi nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Bw Theobald Sabi, amesisitiza umuhimu wa teknolojia, elimu kwa umma pamoja na ubia baina ya wadau muhimu wa sekta ya bima ikiwemo serikali, taasisi za fedha na kampuni za mitandao ya simu kama suluhisho muhimu katika kuimarisha na kuchochea kasi ya upatikanaji wa huduma ya bima

Mkurugenzi Benki ya NBC ataja suluhisho uimarishaji huduma ya bima jumuishi nchini Read More »

“Rais Samia yupo ‘serious’ na kilimo”- RC Macha

Macha amebainisha hayo leo Septemba 13,2024 wakati akifungua kikao cha kamati ya ushauri mkoa wa Shinyanga (RCC). Amesema Rais Samia kwenye utawala wake amefanya mambo makubwa katika sekta mbalimbali, na kwamba kwenye masuala ya kilimo amekuwa “serious” na ametoa vitendea kazi kwa maofisa ugani, ili wawe karibu na wananchi na kuwafikia virahisi na kuwapatia elimu

“Rais Samia yupo ‘serious’ na kilimo”- RC Macha Read More »

Maonesho ya Siku ya Wakulima wa Miwa, fursa kwa wakulima kunufaika na ubunifu 

Wakulima wa miwa wa Bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024. Maonesho hayo ya siku tatu yanaungwa mkono na Kampuni ya Sukari Kilombero, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo; Mfuko

Maonesho ya Siku ya Wakulima wa Miwa, fursa kwa wakulima kunufaika na ubunifu  Read More »

Ado Shaibu- Kiama cha mafisadi kwenye korosho, ufuta na mbaazi Kusini kinakuja

Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kinafuatilia kwa karibu na kuchunguza vitendo vya ufisadi katika usambazaji wa pembejeo za kilimo na masoko ya mazao ya korosho, mbaazi na ufuta katika mikoa ya Ruvuma, Tunduru na Ruvuma. “Juzi nilikuwa Tunduru na leo nipo Nanyumbu na Masasi, kilio ni kilekile. Wakulima wanapunjwa pembejeo na kuna wizi mkubwa

Ado Shaibu- Kiama cha mafisadi kwenye korosho, ufuta na mbaazi Kusini kinakuja Read More »

Madini ya dhahabu kilo 15.78 yakamatwa bandarini yakitoroshwa

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo Septemba,11, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio hilo. “Nchi yetu inazo sekta kadhaa za uzalishaji ambazo mapato yake ndiyo msingi wa maendeleo ya

Madini ya dhahabu kilo 15.78 yakamatwa bandarini yakitoroshwa Read More »