Biashara

Coca-Cola yazindua tamasha la chakula

KAMPUNI ya Coca-Cola imezindua tamasha la Chakula lijulikanalo kama ‘Coca-Cola Food Fest’ kwa lengo la kuwaleta pamoja wapishi bora wa vyakula, muziki na burudani. Tamasha hilo lilizinduliwa mwishoni mwa wiki linatarajia kuanza tarehe 9 Septemba hadi 23 Novemba 2024 ambapo pia kutakuwa matamasha yatakayokuwa yakifanyika mitaani katika maeneo tofauti ya Dar es Salaam. Tamasha hili

Coca-Cola yazindua tamasha la chakula Read More »

Mkurugenzi wa M Tours atembelea Makuyuni Wildlife Park

MKURUGENZI  wa Kampuni maarufu ya utalii inayofahamika kama M Tours, Bi. Elvera Verhagen akiwa ameambatana na babu yake Van Denzel kutoka Uholanzi Septemba 6, 2024, walitembelea eneo la Makuyuni Wildlife Park lililopo wilayani Monduli jijini Arusha kujionea vivutio mbalimbali vilivyopo na kupata fursa ya kufahamu namna wanavyoweza kufanya biashara ya utalii katika eneo hili hasa

Mkurugenzi wa M Tours atembelea Makuyuni Wildlife Park Read More »

Benki ya NBC kuchochea ukuaji wa biashara Tanzania – Afrika Kusini

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa wito kwa wafanyabaishara wa kitanzania kuchangamkia fursa mbalimbali za biashara baina ya Tanzania na Afrika kusini huku ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea  kuchochea na kuwezesha biashara baina ya mataifa hayo mawili kupitia ukuzaji wa mitaji na urahisishaji wa miamala. Wito huo umetolewa na Mkuu wa kwa Kitengo cha

Benki ya NBC kuchochea ukuaji wa biashara Tanzania – Afrika Kusini Read More »

NMB yashiriki mkutano mkubwa wa Madini Australia, yaeleza ipo tayari kushirikiana na wadau

Benki ya NMB inashiriki katika mkutano mkubwa wa madini duniani, Africa Down Under, Perth, Australia unaomalizika leo. Mkutano huu wa siku tatu unawakutanisha wadau wa sekta ya madini kutoka sekta ya umma na binafsi ikiwemo viongozi wa serikali, makampuni ya uchimbaji, wawekezaji na wadau wengine kujadili fursa zilizopo, sera na hali ya jumla ya sekta

NMB yashiriki mkutano mkubwa wa Madini Australia, yaeleza ipo tayari kushirikiana na wadau Read More »

Mradi Wa Kabanga Nickel wavutia uwekezaji mkubwa kutoka kampuni za Australia

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya madini ya BHP inayotarajia kuingia ubia na Kampuni ya Lifezone Metal kwa ajili ya kuwekeza nchini Tanzania katika mradi wa uchimbaji madini aina ya Nickel,Wilayani Ngara Mkoa wa Kagera. Mazungumzo hayo yalijikita katika kutoa taarifa ya maendeleo ya mradi wa

Mradi Wa Kabanga Nickel wavutia uwekezaji mkubwa kutoka kampuni za Australia Read More »

Benki ya NBC kutoa huduma mahususi zenye upendeleo kwa wafugaji

 Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT) yanayolenga kufungua milango na fursa kwa wafugaji na wadau walioko kwenye mnyororo wa thamani wa sekta hiyo nchini ili  kupata  huduma za kifedha zilizo mahususi kulingana na mahitaji yao. Hafla ya kusaini hati za makubaliano hiyo imefanyika

Benki ya NBC kutoa huduma mahususi zenye upendeleo kwa wafugaji Read More »

Wizara ya Maji, Kilimo kushirikiana Miradi ya Maji na Umwagiliaji Ziwa Victoria, Tanganyika

Viongozi wawili wa Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji wamekutana leo Jijini Dodoma na kuahidi kushirikiana pamoja katika miradi ya maji na umwagiliaji ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa wizara hizo. Viongozi hao, Jumaa Aweso, Waziri wa Maji na Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo wamejadiliana mikakati mbalimbali ya

Wizara ya Maji, Kilimo kushirikiana Miradi ya Maji na Umwagiliaji Ziwa Victoria, Tanganyika Read More »

Makalla atembelea Mpaka wa Tanzania na Kenya ‘Namanga One Stop’ aridhishwa kwa kazi nzuri

“Nimeridhika na kazi mnayoifanya hapa ‘Namanga One Stop Border Post’ nimejionea foleni ya magari sio kubwa, pamoja na kazi nzuri mnayoifanya endeleeni kuhakikisha suala la foleni linaisha kabisa huku mkiondoa urasimu pamoja na yote muongeze Ushirikiano kwani kwa sasa tupo Vizuri Sisi na majirani zetu wa Afrika Mashariki”. “Jambo la Mwisho wapeni Ushirikiano hawa wafanyabiashara

Makalla atembelea Mpaka wa Tanzania na Kenya ‘Namanga One Stop’ aridhishwa kwa kazi nzuri Read More »