Biashara

NBC yasisitiza kuchochea ukuaji biashara, uchumi wa buluu Zanzibar

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeelezea dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na wafanyabishara wadogo, wa kati na wakubwa kupitia huduma zake mbalimbali za kibenki ili kuchochea ukuaji wa uchumi na mchango wa wadau hao katika kufanikisha agenda ya Uchumi wa Buluu na uwezeshaji wa maendeleo visiwani Zanzibar. Dhamira hiyo imesisitizwa na Meneja wa benki […]

NBC yasisitiza kuchochea ukuaji biashara, uchumi wa buluu Zanzibar Read More »

Serikali ya Marekani yasisitiza nia ya kushiriki kuendeleza Mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP

Serikali ya Marekani imesisitiza nia ya kushiriki katika kuendeleza Mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP. Pia imeweka mkazo wa ushiriki wake katika mradi huo wa kimkakati ambao ni kati ya miradi mikubwa na kielelezo katika sekta ya madini nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini Anthony Mavunde ambae amefanya mazungumzo na kampuni ya

Serikali ya Marekani yasisitiza nia ya kushiriki kuendeleza Mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP Read More »