Biashara

EWURA yatoa wito kwa wananchi kutumia fursa za mradi wa bomba la mafuta kuwekeza vituo vya mafuta vijijini

Mwanza, Agosti 4, 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa wito kwa wananchi kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotokana na utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani, Tanzania, likiwemo suala la kujikwamua kiuchumi, kutumia nishati safi ya kupikia, na kuwekeza katika vituo vya mafuta vijijini. Wito […]

EWURA yatoa wito kwa wananchi kutumia fursa za mradi wa bomba la mafuta kuwekeza vituo vya mafuta vijijini Read More »

Benki ya NMB yakutana na wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza

Benki ya NMB imeendelea kuonesha dhamira ya dhati katika kuwa mshirika imara wa wafanyabiashara nchini, baada ya kukutana na wafanyabiashara wakubwa 120 wa Mkoa wa Mwanza katika hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Agosti 1, 2025, jijini Mwanza. Mkutano huo uliolenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya benki hiyo na wateja wake wakubwa, uliwakutanisha viongozi

Benki ya NMB yakutana na wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza Read More »

NEMC yapigia chapuo kilimo hifadhi kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewakumbusha wawekezaji kuhakikisha wanakuwa na cheti cha tathmini ya mazingira (EIA) kabla ya kufanya uwekezaji wowote. Wito huo umetolewa leo jijini Dodoma na Kaimu Meneja wa NEMC Kanda ya Kati-Dodoma, Novatus Mushi, wakati akitoa elimu kwa umma kwenye maonyesho ya wakulima yanayoendelea katika viwanja vya

NEMC yapigia chapuo kilimo hifadhi kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Read More »

Wizara ya Nishati, Taasisi zake zashiriki Maonesho ya Kimataifa ya kilimo Dodoma

Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake zinashiriki Katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ambayo yameanza Tarehe 1 Agosti Katika Viwanja Nzuguni Jijini Dodoma. Maonesho hayo yamebebwa na kaulimbiu iya ” Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi 2025″, Katika maonesho hayo ambayo yamefunguliwa na Makamu wa Rais, Dk. Philip Isdor

Wizara ya Nishati, Taasisi zake zashiriki Maonesho ya Kimataifa ya kilimo Dodoma Read More »

NMB yajidhatiti kusaidia wakulima, wafugaji na wavuvi kupitia maonesho ya Nane nane

Mkuu wa Kitengo cha Biashara Serikalini kutoka Benki ya NMB, makao makuu, Vicky Bishubo, amesema wamepanga kutumia maonesho ya wakulima Nane nane kutoa elimu kwa wananchi kutambua fursa zinazotolewa na benki hiyo katika sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi nchini. Bishubo, alisema hayo wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho ya wakulima kitaifa katika viwanja vya

NMB yajidhatiti kusaidia wakulima, wafugaji na wavuvi kupitia maonesho ya Nane nane Read More »

Simiyu yakusanya milioni 300 faini kwa udanganyifu wa mizani ya pamba

Na Mwandishi WetuMkoa wa Simiyu umekusanya zaidi ya Shilingi milioni 300 kama faini kwa vituo vya ununuzi wa pamba vilivyobainika kuchezea mizani ya kidigitali kwa lengo la kuwapunja wakulima msimu huu. Mkuu wa Mkoa, Anamringi Macha, alisema faini hizo ni matokeo ya msako wa kushtukiza katika wilaya za Itilima na Busega, baada ya malalamiko kutoka

Simiyu yakusanya milioni 300 faini kwa udanganyifu wa mizani ya pamba Read More »

TADB yatoa udhamini wa milioni 400 nane nane Dodoma

Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB),imemshukuru Rais Samia Sulunu Hassan kwa kuipa fedha nyingi ambazo zimeiwezesha kuwakopesha wakulima wengi na hatimaye kutangazwa kuwa mionghoni mwa benki kubwa nchini. Benki hiyo ndiyo  imekuwa Mdhamini Mkuu wa maonyesho ya wakulima  ya nane nane yanayoanza kesho Ijumaa kwenye viwanja vya nane nane mkoani Dodoma ambapo Makamu wa Rais

TADB yatoa udhamini wa milioni 400 nane nane Dodoma Read More »