Biashara

Rais Samia aipaisha Benki ya Maendeleo ya Kilimo

Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imefanikiwa kutoa mikopo ya shilingi trilioni 1.129 kwa wakulima, wafugaji na wavuvi kwa miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ambapo wanufaika wamefikia 1,953,162. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo,  Frank  Nyabundege wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu benki hiyo kutimiza miaka 10 […]

Rais Samia aipaisha Benki ya Maendeleo ya Kilimo Read More »

Wikiendi iliyopita, Tequila Island yatua Mbudya kwa shamrashamra ya kipekee

Wikiendi hii iliyopita, Tequila Island ilitua kwenye kisiwa cha Mbudya, ikiwapa wageni uzoefu wa siku nzima uliojaa burudani isiyosahaulika, msisimko wa mastaa, na ladha ya tequila ya hali ya juu kwa udhamini wa Don Julio. Hafla hiyo iliwaunganisha watu maarufu mashuhuri kutoka Afrika Mashariki akiwemo Seth Gor, Sheila Gashumba, DJ Dream, DJ Dash, na Shelly.

Wikiendi iliyopita, Tequila Island yatua Mbudya kwa shamrashamra ya kipekee Read More »

Dk. Nchemba aongoza ujumbe wa Tanzania Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa EAC

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika kikao cha mashauriano ya ndani kuelekea katika Mkutano wa Kwanza wa Dharura wa Baraza la Kisekta la Mawaziri Wanaosimamia Masuala ya Fedha na Uchumi (SCFEA) wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 25 Julai 2025, Makao Makuu ya Jumuiya hiyo, jijini Arusha.

Dk. Nchemba aongoza ujumbe wa Tanzania Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa EAC Read More »

Wakulima 734 wa miwa watunukiwa vyeti na KCCT kwa ushirikiano na Kilombero Sugar

Taasisi ya Kilombero Community Charitable Trust (KCCT), kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilombero Sugar Company Limited (KSCL), imefanikiwa kutoamafunzo na kuwatunuku vyeti wakulima 734 wa miwa kutoka vyama 17 vya ushirika (AMCOS) kupitia mpango wa Elimu Tija katika Bonde la Kilombero. Mpango huu wenye mwelekeo wa kubadilisha maisha ya wakulima ulikuwa na mafunzo ya kina

Wakulima 734 wa miwa watunukiwa vyeti na KCCT kwa ushirikiano na Kilombero Sugar Read More »

Benki ya NMB na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali zaimarisha ushirikiano utoaji wa huduma kwa wateja

Ujumbe kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAG) ukiongozwa na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samwel Maneno, umetembelea makao makuu ya Benki ya NMB na kufanya kikao na uongozi wa benki hiyo ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Ruth Zaipuna. Kikao hicho kilichofanyika katika makao makuu ya NMB jijini Dar es Salaam, kikilenga kuimarisha ushirikiano

Benki ya NMB na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali zaimarisha ushirikiano utoaji wa huduma kwa wateja Read More »

Waziri Jafo aahidi kulinda viwanda vya ndani kwa gharama yoyote

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amepanga kukutana na wazalishaji wote wa saruji nchini hivi karubuni ili kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili.  Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam baada ya kukutana na wanachama wa Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) ambao walimwelezea changamoto zinazowakabili.  Waziri Jafo alisema wazalishaji wa saruji wameelezea kilio

Waziri Jafo aahidi kulinda viwanda vya ndani kwa gharama yoyote Read More »

Dk. Mpango apongeza ukaribu wa Benki ya NMB na serikali

Arusha. Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameipongeza benki ya NMB kwa jinsi inavyoshirikiana na serikali katika matukio mbalimbali ya kijamii na kiuchumi nchini. Amesema kuwa kumekuwepo na mafanikio makubwa yaliyochagizwa na benki hiyo hasa katika kuhudumia jamii na kuwezesha shughuli na matukio mbalimbali zinazofanywa na serikali. “Kila ninapoiona benki ya NMB ikishiriki katika matukio

Dk. Mpango apongeza ukaribu wa Benki ya NMB na serikali Read More »