Biashara

Stanbic yazindua “Tap Kibingwa” kuhamasisha malipo ya kidigitali

Benki ya Stanbic Tanzania imezindua rasmi mpango wake mpya, kampeni ya “Tap Kibingwa,” iliyoundwa ili kukuza suluhisho za malipo ya kidigitali na kuwazawadia wateja wake. Kampeni hii itakayoendeshwa kuanzia Januari 10 hadi Machi 31, 2025, inawahamasisha wateja kutumia Kadi zao za Visa Debit kwa miamala ya POS na eCommerce ili kushinda zawadi za kuvutia. Akizungumza

Stanbic yazindua “Tap Kibingwa” kuhamasisha malipo ya kidigitali Read More »

Shirika la Ndege la Afrika Kusini laanza safari Johannesburg na Dar

Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA) limezindua rasmi safari zake za kila siku kati ya Johannesburg, Afrika Kusini, na Dar es Salaam, Tanzania, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya mataifa haya mawili yenye ushawishi mkubwa barani Afrika. Katika hafla ya uzinduzi, Mkurugenzi Mtendaji wa muda wa SAA, Profesa John Lamola,

Shirika la Ndege la Afrika Kusini laanza safari Johannesburg na Dar Read More »

Serikali yaongeza nguvu Sekta ya Madini, yakusanya trilioni 2.64 miaka minne

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema,Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Pia,Serikali imeimarisha miundombinu wezeshi,masoko ya madini na kuwawezesha wachimbaji wadogo. Waziri Mkuu amesema, kutokana na jitihada hizo katika kipindi cha miaka minne, mmafanikio makubwa yamepatikana ikiwemo kutoa

Serikali yaongeza nguvu Sekta ya Madini, yakusanya trilioni 2.64 miaka minne Read More »

Makamu wa Rais Z’bar azindua Tawi la NMB Wete, apokea vifaatiba vya Mil. 12/-

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Hemedi Suleiman Abdulla, amezindua Tawi la NMB Wete, lililopo Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, huku akiahidi kuwa SMZ itaendeleza ushirikiano wake na NMB, benki aliyoitaja kama kinara wa kusapoti jitihada za utekelezaji wa miradi mikubwa na ya kimkakati. Uzinduzi wa NMB Tawi la

Makamu wa Rais Z’bar azindua Tawi la NMB Wete, apokea vifaatiba vya Mil. 12/- Read More »

Trafiki waombwa kuondoa msongamano Saza Road Chang’ombe

WATUMIAJI wa barabara za viwandani hasa Mtaa wa Saza Changombe jijini Dar es Salaam wameelezea kurejea kwa kero ya msongamano wa malori kuegeshwa barabarani. Wamesema malori hayo yamekuwa yakiegeshwa pande zote za barabara hali inayosababisha watumiaji wengine wa barabara kushindwa kupita na kusubiri muda mrefu. Mmoja wa watumiaji wa barabara hiyo, Anna Mlari amewataka askari

Trafiki waombwa kuondoa msongamano Saza Road Chang’ombe Read More »

PSSSF yapata tuzo ya banda bora maonesho ya 11 ya Kimataifa ya Biashara Pemba

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umepata Tuzo ya Banda Bora katika Maonesho ya 11 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika kwa mara ya kwanza kwenye Kituo cha Maonesho Chamanangwe, Kisiwani Pemba. Maonesho hayo ambayo ni sehemu ya shamrashamra za kuelekea sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar yanayoadhimishwa Januari 12 kila mwaka, yameandaliwa

PSSSF yapata tuzo ya banda bora maonesho ya 11 ya Kimataifa ya Biashara Pemba Read More »