Biashara

Kuendeshwa na Mafanikio: Safari Isiyo ya Kawaida

Arusha, Tanzania – 13Juni 2025 “Wanasema bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, lakini kwenye biashara bahati inakujaka pale unapo piga mahesabi sahihi nakuwekeza jitihada” anasema Laurence Mollel, dereva wa teksi aliyewahi kuwa mfanyakazi wa kawaida kwenye kampuni ya bima, jijini Arusha. Mwaka 2021, Mollel aliacha kazi yake ya ofisini bila mpango madhubuti wa biashara —

Kuendeshwa na Mafanikio: Safari Isiyo ya Kawaida Read More »

Airtel yazindua kadi ya Kidijitali ya Global Pay kwa malipo ya Kimataifa

Dar es Salaam, – Airtel Money Tanzania kwa kushirikiana na Mastercard, kupitia teknolojia ya Network International, inayofuraha kutangaza upya huduma yake ya kadi ya malipo ya kidijitali inayojulikana sasa kama Airtel Money Global Pay— ambayo ni suluhisho la malipo ya kidigitali lililo salama, rahisi na linaloendana na maisha ya kisasa. Kadi hii ya kidijitali ya

Airtel yazindua kadi ya Kidijitali ya Global Pay kwa malipo ya Kimataifa Read More »

NMB Kijiji Day yafana Ngorongoro,wananchini wajitoka kwa wingi

Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli mbalimbali za kijamii katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro, mkoani Arusha, zikiwemo michezo, elimu ya fedha, na kuhamasisha vijana kuhusu fursa zilizopo kupitia michezo na ujasiriamali. Tukio hilo lilifanyika katika uwanja wa WASSO ambapo wananchi walishiriki katika michezo mbalimbali kama jogging na mpira

NMB Kijiji Day yafana Ngorongoro,wananchini wajitoka kwa wingi Read More »

PURE Growth Fund kufungua maombi ya miradi ya Kilimo na Nishati Safi Tanzania

Taasisi inayojihusisha na Ubia wa Nishati Jadidifu na Ufanisi wa Nishati (REEEP) inajivunia kutangaza kwamba Awamu ya kwanza ya kutuma Maombi na Mapendekezo kupitia mradi wa Mfuko wa PURE Growth Fund Tanzania sasa umefunguliwa rasmi. Mradi huu ni mpango wa kuleta mageuzi katika kukuza ‘Matumizi Yenye Tija ya Nishati Mbadala’ ndani ya mifumo ya kilimo cha chakula

PURE Growth Fund kufungua maombi ya miradi ya Kilimo na Nishati Safi Tanzania Read More »

NMB yaweka msingi wa ushirikiano imara na Serikali za Mitaa Mkutano wa 25 wa LVRLAC

Benki ya NMB imethibitisha dhamira yake ya kuunga mkono maendeleo ya serikali za mitaa kwa kudhamini Mkutano Mkuu wa 25 wa Jumuiya ya Mamlaka za Serikali za Mitaa Ukanda wa Ziwa Viktoria (LVRLAC), uliofanyika jijini Mwanza. Akitembelea banda la NMB katika mkutano huo, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali

NMB yaweka msingi wa ushirikiano imara na Serikali za Mitaa Mkutano wa 25 wa LVRLAC Read More »

NMB Yatua Mafinga na Kasulu kwa Kijiji Day, Yaendelea Kusambaza Elimu ya Fedha

Na Mwandishi Wetu Benki ya NMB imeendelea na programu yake ya NMB Kijiji Day kwa kishindo, ambapo matukio mawili makubwa yamefanyika kwa siku moja katika vijiji vya Igowole, Mafinga mkoani Iringa na Rusesa, Kasulu mkoani Kigoma, yakiambatana na utoaji wa elimu ya fedha, huduma za kifedha, elimu ya nishati safi ya kupikia, na kampeni za

NMB Yatua Mafinga na Kasulu kwa Kijiji Day, Yaendelea Kusambaza Elimu ya Fedha Read More »

Tanzania kuanza mapinduzi ya Cold Chain kwa mazao yanayoharibika haraka – Mkutano mkubwa kufanyika Dar

Mkutano huo utafanyika siku ya Jumatatu, tarehe 2 Juni 2025, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 1:00 jioni. Tukio hilo litawakutanisha viongozi wa juu wa serikali wakiwemo mawaziri kutoka wizara za Kilimo, Biashara, Mifugo na Uvuvi, pamoja na Uchukuzi, sambamba na wadau kutoka sekta binafsi, mashirika ya maendeleo, wauzaji wa bidhaa nje ya nchi, watoa huduma za usafirishaji,

Tanzania kuanza mapinduzi ya Cold Chain kwa mazao yanayoharibika haraka – Mkutano mkubwa kufanyika Dar Read More »

Hope Holdings yashirikiana na Bolt Business kidijitali usambazaji wa mazulia

Hope Holdings, kampuni ya uwekezaji wa ndani ambayo iliajiri zaidi ya wafanyakazi 450 ndani ya Tanzania mwaka 2024, imetangaza ushirikiano wa kimkakati na Bolt Tanzania kwa ajili ya kudijitali shughuli za biashara ya mazulia kupitia chapa yake ya Amal Carpets, kwa kutumia mtandao mpana wa huduma za usafirishaji wa Bolt kufikisha bidhaa moja kwa moja

Hope Holdings yashirikiana na Bolt Business kidijitali usambazaji wa mazulia Read More »