Biashara

TECNO yawaasa vijana kuhusu teknolojia ya AI, yazindua CAMON 40

Vijana wameaswa kukumbatia na kuichangamkia teknolojia mpya ya Akili Bandia yaani AI kwani haikwepeki kwa ulimwenguwa sasa hivi. Hayo yamesemwa na Mkufunzi wa kampuni ya TECNO, Jackline Saigero wakati wa uzinduzi rasmi wa simu mpya ya CAMON 40 JIjini Dar es Salaam ambayo ina uwezo mkubwa wa teknolojia ya AI. “Teknoljia hii haikwepeki kabisa katika […]

TECNO yawaasa vijana kuhusu teknolojia ya AI, yazindua CAMON 40 Read More »

Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wajivika jukumu la kutangaza vivutio vya Tanzania

Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali pamoja na mashirika ya kimataifa wameonesha kuvutiwa na vivutio vilivyoko nchini, huku wakiahidi kuiongezea nguvu Tanzania katika kutangaza vivutio hivyo kwenye nchi wanakotoka. Wakizungumza jana katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, mabalozi hao

Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wajivika jukumu la kutangaza vivutio vya Tanzania Read More »

AXIAN Telecom yapata dola milioni 100 kutoka EIB Global kuboresha intaneti Tanzania na Madagascar

📌Huu ukiwa ni mkakati wa Global Gateway wa Umoja wa Ulaya kuunga mkono uwekezaji wa huduma ya intaneti nchini Tanzania na Madagascar. 📌Mradi huu unatarajiwa kuongeza zaidi ya mara mbili ueneaji wa mtandao wa 4G nchini Madagascar na Tanzania na kuendeleza zaidi usambazaji wa teknolojia ya 5G. Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank

AXIAN Telecom yapata dola milioni 100 kutoka EIB Global kuboresha intaneti Tanzania na Madagascar Read More »

Benki ya NMB Yadhamini Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania

Benki ya NMB imeshiriki kikamilifu kama mdhamini wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), unaofanyika mjini Songea, mkoani Ruvuma. Mkutano huo muhimu kwa ukuaji wa taaluma ya uandishi wa habari nchini, umehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kama mgeni rasmi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa

Benki ya NMB Yadhamini Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Read More »

Waziri Mavunde azindua rasmi shughuli za uchimbaji madini Porcupine North- Chunya

▪️Ni Leseni Hodhi zilizorudi Serikalini baada ya kumalizika kesi na wawekezaji ▪️Mapato ya Serikali kuongezeka kupitia mrabaha na kodi mbalimbali ▪️ Waziri Mavunde asisitiza kuongeza utafiti zaidi ili kuongeza uzalishaji wa dhahabu ▪️Wachimbaji wadogo nao wapatiwa Leseni kuongeza uzalishaji 📍 Chunya- Mbeya Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua rasmi shughuli za uchimbaji madini katika mgodi

Waziri Mavunde azindua rasmi shughuli za uchimbaji madini Porcupine North- Chunya Read More »

NMB yadhamini na kushiriki uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

Benki ya NMB imedhamini na kushiriki uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 kitaifa uliofanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha, mkoani Pwani. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, ameuwasha rasmi Mwenge wa Uhuru mbele ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, na viongozi wengine

NMB yadhamini na kushiriki uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 Read More »

Lipa ChapChap’: Benki ya Exim Yaja na Mapinduzi ya Malipo Kidijitali

Dar es Salaam – Benki ya Exim Tanzania imechukua hatua madhubuti katika kuunda mustakabali wa malipo ya kidijitali kwa kuzindua ‘Lipa ChapChap’, suluhisho la malipo yasiyotumia fedha taslimu linalorahisisha miamala kwa wafanyabiashara na wateja binafsi. Zaidi ya kuwa huduma mpya, Lipa ChapChap ni hatua muhimu katika dhamira ya benki ya kuendeleza ujumuishi wa kifedha, ubunifu,

Lipa ChapChap’: Benki ya Exim Yaja na Mapinduzi ya Malipo Kidijitali Read More »

Benki ya Stanbic yaendesha droo ya pili ya Tap Kibingwa, ikiwazawadia wateja wake kuzingatia malipo ya kidijitali

Benki ya Stanbic imefanikiwa kuendesha droo ya pili ya mwezi ya kampeni yake ya Tap Kibingwa, ambapo washindi watano wamejishindia kiasi cha TZS 500,000 kila mmoja. Kampeni hii inalenga kuchochea matumizi ya Kadi za Visa Debit kwa ajili ya miamala ya kidijitali, ikiendelea kuhamasisha urahisi na usalama wa malipo yasiyo ya pesa taslimu kote nchini

Benki ya Stanbic yaendesha droo ya pili ya Tap Kibingwa, ikiwazawadia wateja wake kuzingatia malipo ya kidijitali Read More »