Biashara

Dk. Mpango azindua matawi ya NMB

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ametoa wito kwa wananchi kuepuka wakopeshaji binafsi maarufu kama kausha damu ambao hutoza riba kubwa na kunyanyasa wateja kupitia ukamataji wa mali za wadaiwa. Amebainisha kuwa kufunguliwa kwa matawi mapya ya NMB karibu na wananchi kutatoa fursa ya upatikanaji wa huduma za kifedha […]

Dk. Mpango azindua matawi ya NMB Read More »

Benki Ya Stanbic Yatoa Elimu Ya Fedha Kwa Watoto Wa Wateja

Benki Binafsi ya Stanbic imefanikiwa kuendesha kwa mafanikio Akademi yake maarufu ya Ustawi wa Fedha, mpango unaolenga kukuza uelewa wa masuala ya kifedha kwa familia, hususan watoto. Hafla hii ilifanyika kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana katika Hoteli ya Usungilo City, Mbeya. Akademi ya Ustawi wa Fedha ilibuniwa mahsusi kuwaandaa watoto na ujuzi

Benki Ya Stanbic Yatoa Elimu Ya Fedha Kwa Watoto Wa Wateja Read More »

Pikipiki mpya za Daima na Everlast kuanza kusambazwa nchi nzima

Wadau wa pikipiki nchini wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuzinduliwa rasmi kwa pikipiki mpya zenye unafuu mkubwa aina ya Daima na Everlast, zilizozinduliwa Jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, uliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Albert Chalamila, aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya

Pikipiki mpya za Daima na Everlast kuanza kusambazwa nchi nzima Read More »

Wanawake wahimizwa kutumia Vyama vya Ushirika kama njia ya kujikwamua kiuchumi

Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Kaimu Naibu Mrajis wa Ushirika – Uhamasishaji, Consolata Kiluma, amewataka wanawake kutumia vyama vya ushirika kama nyenzo ya kujikwamua kiuchumi. Amesema kuwa vyama vya ushirika, hususan vya Akiba na Mikopo (SACCOS), ni sehemu salama kwa wanawake kuhifadhi fedha zao na kupata mikopo yenye riba nafuu,

Wanawake wahimizwa kutumia Vyama vya Ushirika kama njia ya kujikwamua kiuchumi Read More »

Waziri Kombo atembelea watengeneza ‘drones’ za kilimo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amefanya ziara katika Kampuni ya ABZ Innovation inayojihusisha na uzalishaji wa ndege zisizo na rubani ‘drones’ zinazotumika katika sekta ya kilimo. Katika ziara hiyo Waziri Kombo alipokea wasilisho kuhusu ndege hizo zinazozalishwa na kampuni ya ABZ Innovation ambazo zaidi hutumika katika

Waziri Kombo atembelea watengeneza ‘drones’ za kilimo Read More »

Uchunguzi wa Wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo wafikia asilimia 50

📌…Yaaendelea kuwahoji wafanyabiashara Kamati maalum iliyoundwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, kuchunguza uwepo wa wafanyabiashara wa kigeni katika eneo la Kariakoo imefikia asilimia 50 ya kazi yake na imeahidi kukamilisha ripoti hiyo ifikapo Machi 2, 2025, kama ilivyoagizwa. Kamati hiyo yenye wajumbe 15 inaongozwa na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya

Uchunguzi wa Wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo wafikia asilimia 50 Read More »

Viwanda vinne vya uongezaji thamani madini kujengwa Dodoma- Mavunde

📌Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* 📌Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* 📌Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema, ujenzi wa Viwanda vinne vya Uchenjuaji Madini ya Shaba ikiwemo kiwanda cha Shengde Precious Metal Resources

Viwanda vinne vya uongezaji thamani madini kujengwa Dodoma- Mavunde Read More »

Serikali yarahisisha huduma ya kubadilisha fedha za kigeni

Serikali imesema imerekebisha Kanuni za Maduka ya Kubadilisha Fedha za Kigeni za Mwaka 2019 na kutoa kanuni mpya za mwaka 2023, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kubadilisha fedha za kigeni nchini. Hayo yamelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Chumbuni, Ussi Salum Pondeza,

Serikali yarahisisha huduma ya kubadilisha fedha za kigeni Read More »

RC Babu awaonya wananchi wa Kilimanjaro dhidi ya matumizi mabaya ya fedha

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Nurdin Babu amewaasa wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro kuacha matumizi mabaya ya fedha, huku wengine wakiwa na mitambo ya kuiibia Serikali na wananchi. RC Babu ametoa maagizo hayo wakati wa kikao na Waandishi wa Habari na Timu ya Wataalamu ya utoaji wa Elimu ya Fedha, katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

RC Babu awaonya wananchi wa Kilimanjaro dhidi ya matumizi mabaya ya fedha Read More »