Biashara

Serikali yarahisisha huduma ya kubadilisha fedha za kigeni

Serikali imesema imerekebisha Kanuni za Maduka ya Kubadilisha Fedha za Kigeni za Mwaka 2019 na kutoa kanuni mpya za mwaka 2023, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kubadilisha fedha za kigeni nchini. Hayo yamelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Chumbuni, Ussi Salum Pondeza, […]

Serikali yarahisisha huduma ya kubadilisha fedha za kigeni Read More »

RC Babu awaonya wananchi wa Kilimanjaro dhidi ya matumizi mabaya ya fedha

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Nurdin Babu amewaasa wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro kuacha matumizi mabaya ya fedha, huku wengine wakiwa na mitambo ya kuiibia Serikali na wananchi. RC Babu ametoa maagizo hayo wakati wa kikao na Waandishi wa Habari na Timu ya Wataalamu ya utoaji wa Elimu ya Fedha, katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

RC Babu awaonya wananchi wa Kilimanjaro dhidi ya matumizi mabaya ya fedha Read More »

Wenye Viwanda wakaa na Waziri kutatua kero ya tozo ya Sh 150,000 kupakia kontena 

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Seleman Jafo amesema ndani ya siku 60 Wizara yake itakuwa imepata ufumbuzi wa malalamiko ya wawekezaju kuhusu tozo ya shilingi 150,000 wanayotozwa kwaajili ya kushusha na kupakia kontena. Alitoa ahadi hiyo jana mara baada ya mkutano baina yake na wanachama wa Shirikisho la Wenye Viwanda (CTI), ambao wamekuwa wakilalamikia kutozwa

Wenye Viwanda wakaa na Waziri kutatua kero ya tozo ya Sh 150,000 kupakia kontena  Read More »

Precision Air na Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania wasaini mkataba wa mafunzo 

Shirika la ndege la Precision Air, na Chuo cha Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania, wamesaini Mkataba wa mashirikiano wa mafunzo wenye lengo la kutoa Elimu na ujuzi katika ngazi mbalimbali kwa Shririka la Precision Air Tanzania. Hafla hiyo ya utiaji saini imefanyika mapema leo 5 Februari 2025, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Makao

Precision Air na Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania wasaini mkataba wa mafunzo  Read More »

Dk. Mwigulu azindua rasmi moduli ya kupokea rufaa kieletroniki

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amezindua rasmi matumizi ya Moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko na rufaa katika Mfumo wa Ununuzi wa Umma kwa njia ya Kieletroniki (NeST). Dk. Mwigulu amezindua rasmi matumizi ya moduli hiyo Jijini Mwanza wakati wa mafunzo ya moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko na rufaa (Complaint and Appeal Management

Dk. Mwigulu azindua rasmi moduli ya kupokea rufaa kieletroniki Read More »

Stanbic yazindua “Tap Kibingwa” kuhamasisha malipo ya kidigitali

Benki ya Stanbic Tanzania imezindua rasmi mpango wake mpya, kampeni ya “Tap Kibingwa,” iliyoundwa ili kukuza suluhisho za malipo ya kidigitali na kuwazawadia wateja wake. Kampeni hii itakayoendeshwa kuanzia Januari 10 hadi Machi 31, 2025, inawahamasisha wateja kutumia Kadi zao za Visa Debit kwa miamala ya POS na eCommerce ili kushinda zawadi za kuvutia. Akizungumza

Stanbic yazindua “Tap Kibingwa” kuhamasisha malipo ya kidigitali Read More »