Dk. Nawanda afika Mahakamani kusomewa hukumu leo

Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dk. Yahaya Nawanda  tayari amewasili katika ukumbi wa mahakama kuu ya mwanza kwa ajili ya kusomewa hukumu ya shtaka linalomkabili.

Dkt Nawanda alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9,2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *