Dk. Samia: Maendeleo yetu yanatokana na ushirikiano wa pamoja

“Maendeleo haya hayajapatikana kwa kutengwa. Ni matokeo ya hatua za pamoja. Kujitolea kusikoyumba kwa wahudumu wetu wa afya, ushirikiano wa asasi za kiraia kama vile taasisi ya Jakaya Kikwete Foundation na nyinginezo. Na kuungwa mkono na washirika wa kimataifa kama vile Gates foundation na wengineo. Hata hivyo tunaposherehekea mafanikio haya tunatambua kwamba safari bado haijaisha,”- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *