Dk. Samia: Serikali inaimarisha mazingira ya kujifunza na kufundishia

“Naendelea na ziara ndani ya Mkoa wa Tanga. Na kubwa ni kuangalia kazi zilizofanywa na serikali ndani ya mkoa huu, kazi ambazo zinaenda kupunguza au kuondosha shida za wananchi. Nilipofika hapa nimepitishwa kwenye ramani ya shule hii.

Na kwa kiasi kikubwa nimefurahi kuona kuwa awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule hii imetimia. Na kwamba wanafunzi wameshaanza kunufaika na uwepo wa shule hii,” Rais Samia Suluhu Hassan.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *