Dk. Samia: Tunatumia 5% ya GDP kupambana na mabadiliko ya tabianchi

“Masuala haya ya mabadiliko ya tabianchi yana gharama kubwa kwenye nchi zetu. Kwa mfano Tanzania sisi tunatumia asilimia nne mpaka tano ya GDP yetu kwenye masuala ya kupambana na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *