Dk. Tulia azindua ujio wa mabomba ya maji ya mradi wa Mto Kiwira

📍 Mbeya, Aprili 18, 2025

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 18 Aprili 2025, ameongoza hafla ya uzinduzi wa awamu ya kwanza ya ujio wa mabomba ya maji yatakayotumika katika mradi mkubwa wa usambazaji maji wa Mto Kiwira.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Dkt. Tulia amesema mradi huo ni sehemu ya mafanikio makubwa yanayoendelea kuletwa na Serikali ya Awamu ya Sita

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *