Elimu

CBE yawakumbuka wenye uoni hafifu na usikivu hafifu Shule ya Benjamin Mkapa

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 4.4 kwa shule ya elimu jumuishi ya Benjamin Mkapa ya jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada huo ni mashine ya kukuzia maandishi kwa wanafunzi wenye uoni hafifu, vifaa vya kusaidia usikivu kwa wenye usikivu hafifu (hearing aid) na […]

CBE yawakumbuka wenye uoni hafifu na usikivu hafifu Shule ya Benjamin Mkapa Read More »

Dk. Samia: Serikali inaimarisha mazingira ya kujifunza na kufundishia

“Naendelea na ziara ndani ya Mkoa wa Tanga. Na kubwa ni kuangalia kazi zilizofanywa na serikali ndani ya mkoa huu, kazi ambazo zinaenda kupunguza au kuondosha shida za wananchi. Nilipofika hapa nimepitishwa kwenye ramani ya shule hii. Na kwa kiasi kikubwa nimefurahi kuona kuwa awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule hii imetimia. Na kwamba

Dk. Samia: Serikali inaimarisha mazingira ya kujifunza na kufundishia Read More »

Kitabu cha JUA na UA, chazinduliwa, kichocheo maadili na ubunifu kwa watoto

Kitabu cha JUA Na UA, ambacho ni sehemu ya mfululizo wa vitabu vya hadithi za watoto vilivyoandikwa na Mtanzania Prudence Zoe Glorious, kimezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki, Februari 15, 2025. JUA Na UA ni kitabu kinachobeba falsafa za Kitanzania, kilizinduliwa katika ofisi mpya ya PZG-PR, iliyopo 50 Msasani Road, Oysterbay, Dar es Salaam kikiwa na

Kitabu cha JUA na UA, chazinduliwa, kichocheo maadili na ubunifu kwa watoto Read More »

Mchengerwa awaweka kikaangoni wakurugenzi watoto kusomea chini ya mti

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, ameagiza tathmini ifanyike kubaini maeneo ambapo wanafunzi wanalazimika kusoma chini au kukaa chini ya miti. Pia, amewataka wakurugenzi wa halmashauri na wataalamu wao kuandikiwa barua za kujieleza juu ya hali hiyo. Agizo hilo amelitoa leo, Februari 13, 2025, jijini Dodoma, wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kukabiliana

Mchengerwa awaweka kikaangoni wakurugenzi watoto kusomea chini ya mti Read More »