Elimu

Waziri Jafo amtaka mkandarasi jengo la Metrolojia CBE kuzingatia ubora

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo amemwagiza mkandarasi Kampuni ya LI JUN Construction ya China anayejenga jengo la Metrolojia la Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kukamilisha kwa wakati na kwa ubora waliokubaliana kwenye mkataba. Waziri Jafo ametoa maelekezo hayo leo alipotembelea ujenzi wa jengo hilo unaoendelea chuoni hapo ambalo litatumika kwaajili ya masomo

Waziri Jafo amtaka mkandarasi jengo la Metrolojia CBE kuzingatia ubora Read More »

Prof.Mkenda: Majibu ya hoja za wadau wa elimu kubainishwa Jan. 31

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema uzinduzi Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo la 2023 na Mitaala ilivyoboreshwa utafanyika Januari 31, mwaka huu jijini Dodoma na imezingatia masuala mbalimbali ikiwamo hoja za wadau kuhusu lugha ya kufundishia na matumizi ya Akili Mnemba. Akizungumza leo na waandishi wa habari

Prof.Mkenda: Majibu ya hoja za wadau wa elimu kubainishwa Jan. 31 Read More »

Wajasiriamali Soko la Tegeta Nyuki wanufaika na elimu ya hifadhi ya jamii kutoka NSSF

Lengo la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kufikisha elimu ya hifadhi ya jamii kwa makundi mbalimbali ya wananchi linaendelea kwa kasi baada ya wajasiriamali katika soko ya Tegeta Nyuki, jijini Dar es Salaam, kuhamasika kujiwekea akiba baada ya kupata elimu kutoka NSSF ili waweze kunufaika na mafao. NSSF kupitia kwa Meneja wa

Wajasiriamali Soko la Tegeta Nyuki wanufaika na elimu ya hifadhi ya jamii kutoka NSSF Read More »

Mjadala wa kitabu wafanyika ndani ya behewa la SGR, kuhamasisha usomaji

Kwa mara ya kwanza katika historia, behewa namba 12 la treni ya SGR limegeuka jukwaa la maarifa ambapo mjadala wa kitabu cha mwezi, “The Diary of a CEO,” ulifanyika. Tukio hili liliambatana na mazungumzo kuhusu umuhimu wa kujisomea vitabu kwa vijana wa Kitanzania. Mjadala huo uliandaliwa na Hekima Book Club, kikundi kinachojulikana kwa juhudi zake

Mjadala wa kitabu wafanyika ndani ya behewa la SGR, kuhamasisha usomaji Read More »