Elimu

Anne Makinda ataka tafiti kwanini wavulana wanashuka kitaaluma

SPIKA mstaafu Anne Makinda ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kairuki amependekeza zifanyike tafiti kujua sababu za watoto wengi wa kiume kuachwa nyuma kitaaluma na wenzao wa kike. Aliyasema hayo leo wakati wa kongamano la sita kitaaluma lililoandaliwa na chuo hicho kujadili namna sekta ya afya inaavyoweza kufanya mabadiliko kwa huduma hizokutolewa kidijitali.

Anne Makinda ataka tafiti kwanini wavulana wanashuka kitaaluma Read More »

Wadau wa elimu wakutana kujadili ubunifu na uwezeshaji kwa maendeleo endelevu

Wadau, wanataaluma, na wanafunzi wameshiriki kongamano la 11 la kitaaluma (Convocation) juu ya uwezeshaji na ubunifu katika kubadilisha elimu kuwa fursa. Akizungumza juzi jijini Dar es Salaam, Naibu Mkuu wa Chuo Taaluma, Prof. Sotco Komba, alisema kuwa kongamano hili limekuwa fursa kwa wanafunzi kujifunza masuala ya ubunifu, ambapo katika maisha ya sasa ubunifu ni kichocheo

Wadau wa elimu wakutana kujadili ubunifu na uwezeshaji kwa maendeleo endelevu Read More »

Madawati 300 yatolewa na Lions Club Infinity kuboresha Shule ya Msingi Mbagala

Shule ya Msingi Mbagala imepokea msaada wa madawati 300 kutoka kwa wanachama wa Lions Club Infinity Dar es Salaam, hatua inayolenga kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi shuleni hapo. Msaada huo umetolewa baada ya wanachama wa klabu hiyo kutembelea shule hiyo mwaka jana, ambapo walitoa msaada wa taulo za kike na kushuhudia changamoto ya baadhi

Madawati 300 yatolewa na Lions Club Infinity kuboresha Shule ya Msingi Mbagala Read More »

Wahitimu wenye bunifu CBE kuendelezwa

WAKATI  Chuo cha Elimu ya  Biashara (CBE) kikitarajia kusherehekea  miaka 60 ya chuo hicho uongozi wa chuo hicho umesema unatarajia kuhakikisha wanafunzi wenye vipaji wanafika mbali kwa kuwa maono yao ndiyo mafanikio yao.  Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga, wakati wa hafla ya kuwatunuku vyeti na zawadi mbalimnbali wanafunzi waliofanya

Wahitimu wenye bunifu CBE kuendelezwa Read More »