Elimu

Wanafunzi wote Shule ya Hazina Magomeni wafaulu kwa alama A darasa la saba

WANAFUNZI wote wa Shule ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam wamefaulu kwa alama A kwenye matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa leo. Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani NECTA, Dk. Said Mohamed  mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kwenye matokeo

Wanafunzi wote Shule ya Hazina Magomeni wafaulu kwa alama A darasa la saba Read More »

Afisa Mtendaji Mkuu NMB awafunda Wahitimu ‘Form Four’ Charlotte Sekondari

KUELEKEA mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne itakayofanyika Novemba 11, 2024, wahitimu wa Shule ya Sekondari Charlotte iliyopo Tungi Mkwajuni, Manispaa ya Morogoro, wametakiwa kumtanguliza Mungu, kuwa na nidhamu, bidii, uadilifu na uaminifu, ili kupata mafanikio zaidi kielimu, kimaisha na kiimani. Wito huo umeetolewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth

Afisa Mtendaji Mkuu NMB awafunda Wahitimu ‘Form Four’ Charlotte Sekondari Read More »