Elimu

“Tupo tayari kutoa elimu kwa wazabuni katika kanda”-PPAA

Katika jitihada za kuwafikia wadau wa ununuzi wa umma hususan wazabuni, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeweka mkakati wa kutoa elimu kwa wazabuni katika kanda zote nchini. Akiongea na waandishi wa Habari kuhusu mkakati huo, pembezoni mwa Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha, Katibu Mtendaji wa […]

“Tupo tayari kutoa elimu kwa wazabuni katika kanda”-PPAA Read More »

HESLB, NIDA, RITA na CREDIT INFO watekeleza kwa vitendo maelekezo ya Rais Samia

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Mamlaka ya Vitambulisho Vya Taifa (NIDA) Wakala wa Usajili ,Ufilisi na Udhamini( RITA) na Taasisi za uchakataji wa taarifa za waombaji mikopo kwenye Taasisi za Fedha (CREDIT INFO), zimeingia makubaliano ya kubadilishana taarifa kupitia mifumo ya Tehama kwaajili ya kurahisisha ukusanyaji madeni kwa wanufaika wenye

HESLB, NIDA, RITA na CREDIT INFO watekeleza kwa vitendo maelekezo ya Rais Samia Read More »

Wazazi waduwazwa na vipaji vya wanafunzi St Anne Marie Academy

UMAHIRI ulionyeshwa na wanafunzi wa shule ya sekondari ya St Anne Marie Academy kwenye kuzungumza lugha mbalimbali kumewashangaza wazazi walihudhuria mahafali ya shule hiyo mwishoni mwa wiki. Wanafunzi hao walionyesha vipaji vyao jana Jumamosi  kwenye mahafali ya 20 ya shule ya sekondari shuleni hapo Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam. Wanafunzi hao walionyesha

Wazazi waduwazwa na vipaji vya wanafunzi St Anne Marie Academy Read More »

Wazazi, walezi wakumbushwa malezi, “msiwaachie walimu pekee”

OFISA Elimu Msingi Kata ya Mikocheni, Elizabeth Lulagora amesema wazazi na walezi, wasiuache mzigo wa ulezi kwa walimu pekee, kwa madai kwamba wapo ‘bize’ kutafuta fedha za mahitaji ya familia. Lulagora, akimwakilisha Ofisa Elimu Msingi wa Manispaa ya Kinondoni, aliyasema hayo hivi karibuni kwenye mahafali ya 18 kwa wahitimu watarajiwa wa darasa la saba katika

Wazazi, walezi wakumbushwa malezi, “msiwaachie walimu pekee” Read More »

Benki ya NBC yatoa elimu ya fedha kwa wanafunzi, walimu Shule ya Sekondari Pugu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya fedha na umuhimu wa uwekaji akiba kwa wanafunzi na walimu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Pugu iliyopo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo inalenga kutoa fursa kwa wanafunzi hao kujifunza masuala ya kifedha ili kuwajengea utamaduni wa kujiwekea akiba, kubuni mawazo

Benki ya NBC yatoa elimu ya fedha kwa wanafunzi, walimu Shule ya Sekondari Pugu Read More »