Elimu

Wahitimu wenye bunifu CBE kuendelezwa

WAKATI  Chuo cha Elimu ya  Biashara (CBE) kikitarajia kusherehekea  miaka 60 ya chuo hicho uongozi wa chuo hicho umesema unatarajia kuhakikisha wanafunzi wenye vipaji wanafika mbali kwa kuwa maono yao ndiyo mafanikio yao.  Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga, wakati wa hafla ya kuwatunuku vyeti na zawadi mbalimnbali wanafunzi waliofanya

Wahitimu wenye bunifu CBE kuendelezwa Read More »

Wanafunzi wote Shule ya Hazina Magomeni wafaulu kwa alama A darasa la saba

WANAFUNZI wote wa Shule ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam wamefaulu kwa alama A kwenye matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa leo. Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani NECTA, Dk. Said Mohamed  mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kwenye matokeo

Wanafunzi wote Shule ya Hazina Magomeni wafaulu kwa alama A darasa la saba Read More »