Wazazi, walezi wakumbushwa malezi, “msiwaachie walimu pekee”
OFISA Elimu Msingi Kata ya Mikocheni, Elizabeth Lulagora amesema wazazi na walezi, wasiuache mzigo wa ulezi kwa walimu pekee, kwa madai kwamba wapo ‘bize’ kutafuta fedha za mahitaji ya familia. Lulagora, akimwakilisha Ofisa Elimu Msingi wa Manispaa ya Kinondoni, aliyasema hayo hivi karibuni kwenye mahafali ya 18 kwa wahitimu watarajiwa wa darasa la saba katika […]
Wazazi, walezi wakumbushwa malezi, “msiwaachie walimu pekee” Read More »