Ubora wa elimu St Anne Marie wamkosha mbunge wa CCM
MBUNGE wa Bukene (CCM), Selemani Zedi, amezitaka shule nchini kutoza ada himilivu ili wanafunzi wengi wanaotoka familia zisizo na uwezo kupata fursa ya kusoma na ameipongeza shule ya St Anne Marie kwa kukubali kusomesha wanaofiwa na wazazi. Alitoa wito huo mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 20 ya shule ya sekondari St Anne Marie […]
Ubora wa elimu St Anne Marie wamkosha mbunge wa CCM Read More »







