Habari

Prof. Mwandosya kinara wa matibabu ya saratani nchini – Dk. Biteko

📌Dk. Biteko azindua Kitabu cha Living with Cancer cha Prof.  Mark Mwandosya 📌 Watanzania watakiwa kujenga utamaduni wa kupima afya 📌Serikali yaimarisha huduma za uchunguzi na matibabu ya saratani Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amemuelezea  Prof. Mark Mwandosya kuwa ni […]

Prof. Mwandosya kinara wa matibabu ya saratani nchini – Dk. Biteko Read More »

CP Hamduni: NGO zingatie sheria, kanuni na kulinda maslahi ya Taifa

Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, CP Salum Hamduni, ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) mkoani humo, kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria, kanuni, na mwongozo wa uratibu na usimamizi wa mashirika hayo, huku wakilinda maslahi ya taifa na kuheshimu mila na desturi za Mtanzania. Amebainisha hayo leo Julai 30,2025 kwa niaba ya Mkuu wa

CP Hamduni: NGO zingatie sheria, kanuni na kulinda maslahi ya Taifa Read More »

Makandarasi waaswa kufanya kazi kwa kuzingatia mikataba

Makandarasi wameaswa kufanya kazi kwa viwango na ubora unaotakiwa kwa kuzingatia makubaliano katika  mikataba ya utekelezaji wa miradi. Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo ya Usimamizi wa Mikataba (Contracts Management) ya siku tatu yenye lengo la kuwajengea uwezo Makandarasi wazawa yanayofanyika kuanzia leo mkoani Iringa, Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi Rhoben Nkori,

Makandarasi waaswa kufanya kazi kwa kuzingatia mikataba Read More »

Rais Samia aipaisha Benki ya Maendeleo ya Kilimo

Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imefanikiwa kutoa mikopo ya shilingi trilioni 1.129 kwa wakulima, wafugaji na wavuvi kwa miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ambapo wanufaika wamefikia 1,953,162. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo,  Frank  Nyabundege wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu benki hiyo kutimiza miaka 10

Rais Samia aipaisha Benki ya Maendeleo ya Kilimo Read More »

Madereva 477 wafaulu usaili wa ajira Qatar – 28 wawasili awamu ya kwanza

Zoezi la usaili kwa madereva 800 wa Kitanzania wanaotarajiwa kwenda kufanya kazi nchini Qatar limeanza rasmi katika Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT), Mabibo, jijini Dar es Salaam. Katika awamu ya kwanza ya usaili, jumla ya madereva 477 kati ya 800 waliotarajiwa wamefaulu na kupangiwa nafasi za kazi nchini Qatar kupitia Kampuni ya Usafirishaji ya

Madereva 477 wafaulu usaili wa ajira Qatar – 28 wawasili awamu ya kwanza Read More »

Benki ya Absa Tanzania, World Vision wakabidhi mradi wa maji kwa wakazi wa Kwedizinga

Benki ya Absa Tanzania kwa kushirikiana na shirika la World Vision Tanzania imekabidhi rasmi mradi wa kisima cha maji chenye pampu inayotumia nishati ya jua pamoja na mtandao wa usambazaji wa maji kwa wakazi wa Kijiji cha Kwedizinga, Wilaya ya Handeni. Hafla ya makabidhiano ya mradi huo uliodhaminiwa na Benki ya Absa kwa gharama ya

Benki ya Absa Tanzania, World Vision wakabidhi mradi wa maji kwa wakazi wa Kwedizinga Read More »