Waziri: Wekeni taarifa sahihi kwenye mifumo MaJIS & NISMS
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri, ameagiza Watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira (WSSAs) kuweka taarifa sahihi za huduma ya majii na usafi wa mazingira kwenye mifumo ya taarifa ya MaJIS na NISMS, ili kuimarisha ufuatiliaji wa utoaji huduma kwa wananchi. Akizungumza jijini Dodoma kwenye Kongamano la Kwanza la Kitaifa la […]
Waziri: Wekeni taarifa sahihi kwenye mifumo MaJIS & NISMS Read More »