Habari

Benki ya Absa Tanzania, World Vision wakabidhi mradi wa maji kwa wakazi wa Kwedizinga

Benki ya Absa Tanzania kwa kushirikiana na shirika la World Vision Tanzania imekabidhi rasmi mradi wa kisima cha maji chenye pampu inayotumia nishati ya jua pamoja na mtandao wa usambazaji wa maji kwa wakazi wa Kijiji cha Kwedizinga, Wilaya ya Handeni. Hafla ya makabidhiano ya mradi huo uliodhaminiwa na Benki ya Absa kwa gharama ya

Benki ya Absa Tanzania, World Vision wakabidhi mradi wa maji kwa wakazi wa Kwedizinga Read More »

Dk. Samia aweka rekodi mpya CCM

Katika historia ya siasa za Tanzania, Julai 26, 2025 inabaki kuwa siku ya kipekee. Siku ambayo Chama cha Mapinduzi (CCM) kiliandika ukurasa mpya wa mageuzi kwa kufanya Mkutano Mkuu wa Taifa kwa njia ya kidijitali, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa chama hicho mwaka 1977. Lakini zaidi ya teknolojia, historia hii imewekwa chini

Dk. Samia aweka rekodi mpya CCM Read More »

Amref Tanzania na NBC Dodoma Marathon kuboresha huduma kwa watoto wenye usonji

Dodoma, Tanzania, 28 Julai 2025 – Amref Health Africa – Tanzania imepokea msaada wa shilingi milioni 100 za Kitanzania (sawa na takribani dola 38,500 za Kimarekani) kutoka Benki ya NBC wakati wa mbio za NBC Marathon 2025 zilizofanyika Dodoma. Fedha hizo zitatumika kufadhili mafunzo kwa wauguzi 100 ili kusaidia watoto wenye changamoto ya usonji. Mbio

Amref Tanzania na NBC Dodoma Marathon kuboresha huduma kwa watoto wenye usonji Read More »

Afisa Elimu Dar apongeza umahiri lugha ya kifaransa St Anne Marie Academy

Serikali imeahidi kuendelea kushirikiana na sekta binafsi katika elimu huku ikiipongeza shule ya St Anne Marie Academy ya jijini Dar es Salaam kwa kufanya vizuri kwenye matokeo ya mitihani ya kitaifa. Pongezi hizo zimetolewa leo jijini Dar es Salaam na Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es Salaam Gift Kyando wakati wa mahafali ya darasa

Afisa Elimu Dar apongeza umahiri lugha ya kifaransa St Anne Marie Academy Read More »

Aweso ambana mkandarasi aliyeshindwa kuwapa mikataba vibarua mradi wa maji Kayanga

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ametoa maagizo kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa maji wa miji 28, Kayanga Wilayani Karagwe, kuhakikisha changamoto zinazowakabili vibarua wanaofanya kazi kwenye mradi huo zinatatuliwa. Waziri Aweso amesisitiza kuwa ni lazima vibarua hao wapate mikataba ya kazi na maslahi yao yaweze kulipwa kwa wakati. Katika ziara yake aliyoifanya kwenye mradi huo

Aweso ambana mkandarasi aliyeshindwa kuwapa mikataba vibarua mradi wa maji Kayanga Read More »

Dk. Nchemba aongoza ujumbe wa Tanzania Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa EAC

Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika kikao cha mashauriano ya ndani kuelekea katika Mkutano wa Kwanza wa Dharura wa Baraza la Kisekta la Mawaziri Wanaosimamia Masuala ya Fedha na Uchumi (SCFEA) wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 25 Julai 2025, Makao Makuu ya Jumuiya hiyo, jijini Arusha.

Dk. Nchemba aongoza ujumbe wa Tanzania Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa EAC Read More »

Wakulima 734 wa miwa watunukiwa vyeti na KCCT kwa ushirikiano na Kilombero Sugar

Taasisi ya Kilombero Community Charitable Trust (KCCT), kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilombero Sugar Company Limited (KSCL), imefanikiwa kutoamafunzo na kuwatunuku vyeti wakulima 734 wa miwa kutoka vyama 17 vya ushirika (AMCOS) kupitia mpango wa Elimu Tija katika Bonde la Kilombero. Mpango huu wenye mwelekeo wa kubadilisha maisha ya wakulima ulikuwa na mafunzo ya kina

Wakulima 734 wa miwa watunukiwa vyeti na KCCT kwa ushirikiano na Kilombero Sugar Read More »

Naibu Waziri Sangu aipongeza PSSSF kwa kuendelea kulipa mafao kwa wakati

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Deus Sangu, ameupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa jinsi unavyotekeleza majukumu yake ya kuhakikisha wastaafu wanapatiwa mafao yao kwa wakati.  Ameyasema hayo alipotembelea banda la watoa huduma wa PSSSF kwenye mkutano mkuu wa kwanza wa Maafisa Usimamizi wa

Naibu Waziri Sangu aipongeza PSSSF kwa kuendelea kulipa mafao kwa wakati Read More »