Habari

Naibu Waziri Sangu aipongeza PSSSF kwa kuendelea kulipa mafao kwa wakati

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Deus Sangu, ameupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa jinsi unavyotekeleza majukumu yake ya kuhakikisha wastaafu wanapatiwa mafao yao kwa wakati.  Ameyasema hayo alipotembelea banda la watoa huduma wa PSSSF kwenye mkutano mkuu wa kwanza wa Maafisa Usimamizi wa […]

Naibu Waziri Sangu aipongeza PSSSF kwa kuendelea kulipa mafao kwa wakati Read More »

Vituo viwili vya kupunguza kasi ya mafuta ghafi EACOP kujengwa nchini

📌Vinalenga kupunguza kasi ya Mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanzania 📌Ujenzi wafikia asilimia 50 📌 Mabomba ya kipenyo cha inchi 24 kutumika kusafirsha mafuta ghafi 📌 Wataalam wazawa waomba Serikali kuwa na data za kuwatambua pindi miradi inapotokea Na Neema Mbuja, Manyara Jumla ya vituo viwili vya kupunguza kasi ya mafuta ghafi yanayotoka Hoima

Vituo viwili vya kupunguza kasi ya mafuta ghafi EACOP kujengwa nchini Read More »

Utoaji huduma kupitia mtandao umeongeza ufanisi- Mhandisi Zena

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Ahmed Said, amepongeza taasisi za Umma kwa kupiga hatua kubwa katika matumizi ya teknolojia katika utoaji wa huduma kwa umma kwani yameongeza ufanisi. Mhandisi Zena ameyasema hayo Julai 23, 2025 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Kwanza wa Maafisa Usimamizi

Utoaji huduma kupitia mtandao umeongeza ufanisi- Mhandisi Zena Read More »

Bolt yazindua kipengele cha “Family Profile” kurahisisha safari za familia

Dar es Salaam, Tanzania – 23 Julai 2025: Katika kipindi ambacho matumizi ya teknolojia yamekuwa yakikua kwa kasi na upatikanaji wa simu janja ukiwa unazidi kuimarisha ushirikishwaji wa jamii katika huduma za kisasa, sekta ya usafiri wa mtandaoni inayoongozwa na Bolt Tanzania inalazimika kuendelea kubadilika ili kukidhi mahitaji yanayoibuka miongoni mwa watumiaji. Kwa mujibu wa

Bolt yazindua kipengele cha “Family Profile” kurahisisha safari za familia Read More »

WB yatekeleza mradi njia ya umeme ya 400 kV kuunganisha Uganda na Tanzania

📌Yakutana na Mhandisi Mramba kueleza uamuzi huo baada ya kujiridhisha kuwa hauna athari kimazingira 📌Yaialika Wizara ya Nishati kushiriki Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York 📌Mramba aahidi kuendelea kushirikiana na Benki ya Dunia utekelezaji miradi ya Nishati Benki ya Dunia (WB) imeeleza kuwa itatoa fedha za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa

WB yatekeleza mradi njia ya umeme ya 400 kV kuunganisha Uganda na Tanzania Read More »

Aweso amaliza utata mradi wa Maji Mafinga; aagiza mkandarasi kuongeza kasi ya utekelezaji

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amefanikisha kumaliza utata uliokuwa unakwamisha utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Mafinga unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 48.06.  Mradi huu ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi, salama, na ya uhakika kwa miji 28 nchini, ikiwemo Mafinga. Katika ziara yake

Aweso amaliza utata mradi wa Maji Mafinga; aagiza mkandarasi kuongeza kasi ya utekelezaji Read More »

Rais Samia atoa bilioni nne ujenzi kiwanda cha kuzalisha nishati mbadala

📌Kiwanda kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa nishati safi nchini 📌REA kugharamia ununuzi wa mtambo wa STAMICO 📌Stamico yapania kusambaza Nishati Safi ya Rafiki Briquettes kila kona Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) leo tarehe 22 Julai, 2025 wamesaini mkataba wenye lengo la kujenga kiwanda kipya cha

Rais Samia atoa bilioni nne ujenzi kiwanda cha kuzalisha nishati mbadala Read More »